Tabia tatu tunazopaswa kumuiga paka

Tabia tatu tunazopaswa kumuiga paka

Kwa ninyi msiowapenda Nyau, Hapo awali nilikuwa na mitazamo yenu. Baadae mtizamo ulibadilika. Hadi sasa nyau ni mnyama nimpendae yamkini kuliko wanyama wote duniani. Huwaga ninaishi nao kwa amani sana. Wanaletaga "peace of mind"


JESUS IS SAVIOR
Ukitaka muogesha unamuosha na sabun ya kawaida?dawa ya minyoo je?
 
Nawakubali sana paka paka akimkomalia mbwa mbwa anakimbia , paka mpe chakula atakukubali kinoma nilikuwa nae ika ndo paka aish kwa msela
 
Anaogeshwa kwa maji vuguvugu yenye 'dip'. Dawa za minyoo tunachukua madukani, zipo.


Jesus is Christ
Nimeletewa paka mdogo nataka nimuogeshe nauliza na sabuni ipi??au hata hizi za kawaida tu??
 
Back
Top Bottom