Kwa hiyo unatakaje sasa ?we lazima utakuwa na shida ya mauchawi. LAZIMA
Ukitaka muogesha unamuosha na sabun ya kawaida?dawa ya minyoo je?Kwa ninyi msiowapenda Nyau, Hapo awali nilikuwa na mitazamo yenu. Baadae mtizamo ulibadilika. Hadi sasa nyau ni mnyama nimpendae yamkini kuliko wanyama wote duniani. Huwaga ninaishi nao kwa amani sana. Wanaletaga "peace of mind"
JESUS IS SAVIOR
Anaogeshwa kwa maji vuguvugu yenye 'dip'. Dawa za minyoo tunachukua madukani, zipo.Ukitaka muogesha unamuosha na sabun ya kawaida?dawa ya minyoo je?
Utapatana nae siku ukigundua kuwa yeye ni mamalia na sio insectasipatani na hawa wadudu
Nimeletewa paka mdogo nataka nimuogeshe nauliza na sabuni ipi??au hata hizi za kawaida tu??Anaogeshwa kwa maji vuguvugu yenye 'dip'. Dawa za minyoo tunachukua madukani, zipo.
Jesus is Christ