Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Chochote tu kama hakipo sawa ni malalamiko tu, lkn siku hizi naona nina afadhali kubwa angalau kuna muda naweza kuicontrol hii hali lkn kuiacha moja kwa moja ndio nimeshindwa
Wewe ningekuacha mapema sana kabla jua halijazama. Im so pissed with a woman who Nags!

Unless uwe so beautiful with the sweetest suction pussy ever plus akili za maisha na kunishauri mambo ya maana, walau nikwamie hapo ila kama hauna maajabu duh utaishia nipa lawama tu.
 
Extro kwa jinsi nnavyokusoma humu comments zako haki tusingewezana[emoji23][emoji23]
 
Unanikumbusha rafiki yangu mmoja alikuwa hivyo, hadi kufikia kumtema kwa sababu hiyo. Ingawa tatizo hilo nahisi lina uhusiano na Psychological reason
Mimi ni mlalamishi lkn sio wale wanawake wa kupayuka payuka ovyo, kama kuna kitu kimenikwaza inaeza kua ata sio wewe lkn nitajilalamisha tu natafutaga tu ile namna niweze kutua mzigo lkn sio kwa namna ya kukera kwa kiwango hicho. Nikishindwa kabisa huwa nalia [emoji23][emoji23] maisha mengine yanaendelea.
 
okey okeyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…