Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Chochote tu kama hakipo sawa ni malalamiko tu, lkn siku hizi naona nina afadhali kubwa angalau kuna muda naweza kuicontrol hii hali lkn kuiacha moja kwa moja ndio nimeshindwadaaa huwa unalalamika kwenye vitu vya namna gani sasa😂?