Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Kila mtu ana tabia yake ambayo huenda mwenza wake inamkera au itamkera kwenye maisha ya ndoa lakini kamwe hawezi kuiacha

Kwa wale walioa ni tabia gani wameshindwa kuziacha wakati huu wa maisha yao ya ndoa

Au sisi tutakaokuja kuoa ni tabia gani tunahisi tutashindwa kuziacha katika maisha yetu ya ndoa

mfano mimi : KUBETI siwezi acha hata nikioa
 
Back
Top Bottom