Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Tabia usiyoweza kuiacha hata uoe/uolewe

Kuguna na kusikitika nikiona mwanamke mzuri anapita mbele yangu au hata ng'ambo ya pili ya barabara.....hii kwa kweli inanifanya kukoswa koswa na magari barabarani kila siku.
 
Back
Top Bottom