Tabia utakazokutana nazo JF.

Tabia utakazokutana nazo JF.

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
Watu wengi wanapojiunga JF, wana this impression kuwa its all sunshine and roses. Kila mtu yuko friendly na hoja inajibiwa kwa hoja. Pretty soon they find out that is not the case.

1. Chameleon
Kila kitu chake ni full of contradiction. Mfano: Mara atasema ameishia la nne, halafu kwenye post nyingine atacomment jinsi alivyokuwa chuo. Mara atasema yuko location fulani, halafu baadae ataongea kama yuko location nyingine kabisa. n.k

2. Politicals
Kila mada atajibu kisiasa. Hata mada ambazo hazihusiki.

3. Clique
mada itachangiwa kulingana na nani ndio ameanzisha mada au amecomment kwenye hiyo thread. Otherwise the thread inakuwa ignored. You see so many great threads zime-end up with very sparse comments, just beacause alieanzisha mada sio popular.

4. Hot stove
Mkijibizana kidogo tu, au kuwa na mtazamo tofauti hucheleweshewi kuporomoshewa matusi nakuitwa kila aina ya jina.

5. Jester
Mtu atakuja na issue serious lakini atachukulia mzaha mzaha.

6. No meaningful comment.
Hakuna cha maana atakacho comment kwenye post zaidi ya kusema nimewahi siti, au kuomba picha.

7. One/two time response.
Akishacomment mara moja au mbili kwenye thread ndo imetoka hiyo. Hajibu tena, hata kama thread aliianzsha mwenyewe.

8. Bougie
Pretending to be expensive/rich/extravagant ukilinganisha to how they really are.

9. Grave diggers
wafukua makaburi. they make sure they always bring up the past to haunt you.

10. Single mom/women basher
wamewageuza single mum au wanawake kuwa punching bags. Wata-criticize everything about women, every day all day.
 
Watu wengi wanapojiunga JF, wana this impression kuwa its all sunshine and roses. Kila mtu yuko friendly na hoja inajibiwa kwa hoja. Pretty soon they find out that is not the case.

1. Chameleon
Kila kitu chake ni full of contradiction. Mara atasema ameishia la nne, halafu kwenye post nyingine atacomment jinsi alivyokuwa chuo. Mara atasema yuko location fulani, halafu baadae ataongea kama yuko location nyingine kabisa.

2. Politicals
Kila mada atajibu kisiasa. Hata mada ambazo hazihusiki.

3. Clique
mada itachangiwa kulingana na nani ndio ameanzisha mada au amecomment kwenye hiyo thread. Otherwise the thread inakuwa ignored. You see so many great threads zime-end up with very sparse coments, just beacause alieanzisha mada sio popular.

4. Hot stove
Mkijibizana kidogo tu, au kuwa na mtazamo tofauti hucheleweshewi kuporomoshewa matusi nakuitwa kila aina ya jina.

5. Jester
Mtu atakuja na issue serious lakini atachukulia mzaha mzaha.

6. No meaningful comment.
Hakuna cha maana atakacho comment kwenye post zaidi ya kusema nimewahi siti, au kuomba picha.

7. One/two time response.
Akishacomment mara moja au mbili kwenye thread ndo imetoka hiyo. Hajibu tena, hata kama thread aliianzsha mwenyewe.

8. Bougie
Pretending to be expensive/rich/extravagant ukilinganisha to how they really are.

9. Single mom/women basher
wamewageuza single mum au wanawake kuwa punching bags. Wata-criticize everything about women, every day all day.

10. Grave diggers
wafukua makaburi.
Kwa hiyo wee leo umegeukia upande wa wanajf wanavyopretend? Ya mtaan yamekushinda?
 
Watu wengi wanapojiunga JF, wana this impression kuwa its all sunshine and roses. Kila mtu yuko friendly na hoja inajibiwa kwa hoja. Pretty soon they find out that is not the case.

1. Chameleon
Kila kitu chake ni full of contradiction. Mfano: Mara atasema ameishia la nne, halafu kwenye post nyingine atacomment jinsi alivyokuwa chuo. Mara atasema yuko location fulani, halafu baadae ataongea kama yuko location nyingine kabisa. n.k

2. Politicals
Kila mada atajibu kisiasa. Hata mada ambazo hazihusiki.

3. Clique
mada itachangiwa kulingana na nani ndio ameanzisha mada au amecomment kwenye hiyo thread. Otherwise the thread inakuwa ignored. You see so many great threads zime-end up with very sparse coments, just beacause alieanzisha mada sio popular.

4. Hot stove
Mkijibizana kidogo tu, au kuwa na mtazamo tofauti hucheleweshewi kuporomoshewa matusi nakuitwa kila aina ya jina.

5. Jester
Mtu atakuja na issue serious lakini atachukulia mzaha mzaha.

6. No meaningful comment.
Hakuna cha maana atakacho comment kwenye post zaidi ya kusema nimewahi siti, au kuomba picha.

7. One/two time response.
Akishacomment mara moja au mbili kwenye thread ndo imetoka hiyo. Hajibu tena, hata kama thread aliianzsha mwenyewe.

8. Bougie
Pretending to be expensive/rich/extravagant ukilinganisha to how they really are.

9. Grave diggers
wafukua makaburi. they make sure they always bring up the past to haunt you.

10. Single mom/women basher
wamewageuza single mum au wanawake kuwa punching bags. Wata-criticize everything about women, every day all day.
Ila sisi single maza, kazi ipo humu Jf
 
Kazi mnayo kwel kweli...siku haiwezi isha hamjaguswa [emoji23] [emoji23]
Yaani.
Halafu cha kushangaza sasa, hao wanaotupondea sie single mom, ndio hao tumebanana nao Pm 24/7.
Kila siku wanalala na kuamka Pm kwetu.
Asa sielewi, ni kwamba wanatukubali kimya kimya au wanataka mbunye kijanja?
Mie mbunyw yangu imeshatanuka waambie
 
number 7, ni mimi hapa..most times nazikimbia mada hata nilizoanzisha mwenyewe hahahaha..kuna watu wanajua ku challenge humu..kukimbia ndio option iliyobaki hahahahaa
[emoji3][emoji3]unahojiwa mpk unashindwa cha kujibu
 
number 7, ni mimi hapa..most times nazikimbia mada hata nilizoanzisha mwenyewe hahahaha..kuna watu wanajua ku challenge humu..kukimbia ndio option iliyobaki hahahahaa
haha una-desert your own creations(posts)... pambana mpaka mwisho!
 
Back
Top Bottom