Tabia ya Gen Z kupenda kuongea na simu mpaka usiku mnene ni kawaida au ni huyu wa kwangu tu?

Kuna Mmoja nilikua nasafiri na Bus La usiku , alikua nyuma yangu, Gen Z alioongea na simu Kwa muda wa Masaa nne, inakata anapiga, Tena anaongea na MTU la Kijana kenzake, matusi tupuuu.

Utasikia..... Hiyo kitu umeshampa mariaa, umeshaitumiaa na ya Happy.. nakujaaa huko kitu yangu sikupi Ng'oo, ungekua unataka yangu ungenifata niliko🀣🀣🀣


Nilikageukia, nikaweka sura Ngumu , nikakambia , Nisisikie Tena kelele zako zisizjali huku Ndani Kuna Baba na Mama zako

GenZ akakaaga Ka GenZ kenzake, sikusikia tena mpaka nashika DODOMA.
 
Ndio wako hivyo na ukiwakataza ni kesi utanuniwa hadi ujute πŸ˜…πŸ˜…
 
πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»
 
Baada ya Gen Z.. kuna Beta version πŸ˜…πŸ˜… sijui Hawa watakuaje
 
Wote wako hivyo ndio starehe Yao
Umefanya vizuri endelea kumrekebisha huwa vinapenda sana mtu anaevipa muongozo kuliko anaviacha viende Bora liende amini katakupenda Cha msingi usiwe na udikteta
#unawezahatakupigakidogo#
Asante.Nilitumia neno la Mungu kukarekebisha.
 
Asante sana mkuu
 
Sijaelewa,

Yaani huyo binti akiwa anaongea na simu usiku kinachokuuma ni nini?

Umeshasema ulikuwa umelala, maana yake kuongea kwake hakukusumbui wewe kulala.

Mbona una mambo ya kikoloni sana.
Shule zifunguliwe mpungue tu humu ndani.
 
Analala na nani? Mnalala wote chumba kimoja au anachumba chake? Nyumba ina dari au haina? Tuanzie hapo
Analala mwenyewe,Vyumba vyetu vipo karibu na kuna dali.Karibu
 
Safi sana
 
Hv vitoto ndo vimenifundisha kuweza kuongea na sm kwa zaidi ya dk 40

Zaman simu niliitumia kuongea maneno mawili matatu,kama "uko wapi?",nakuja au nipo nyumbani

Yaan vipo vina mastory mpaka unajikuta na wew umekuwa mpiga story
 
Ili iweje sasa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Baadae sana nilikuwa napakua misoseji kama yote πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

Saa hivi ashaanza kuwa Mshangazi 31 hataki tena kupakuliwa
Manyanza unanichukuliaje yani? 😹😹
We hizo chai wape wa kuja bana
 
Ni wote..kuna binti wa dada angu likizo zake anaanzia kwangu then anaondoka kwao maana anasoma huku....simu yake huwa anaacha hapa akija ndo anaiwasha...yani aisee huwa kama kapagawa kuna siku kalala sebuleni kisa kuchati tukamkuta usingizi umemkolea i hope alilala saa 9 au 10 maana taa hajazima..simu ipo kifuani kaishika...
Chumbani nilimwambia kama mwenzie amelala hakuna kuongea na simu..
 
Kweli kuna mtu nilim bwaga miaka 32 ila muda ote anataka tuongee
hizo ni tabia za tutoto twa seko
 
Hapo kwenye NB, naona unataka tupazingatie ili tukupe ruhusa ya kumshawishi binti muende mbali ukale mchongo
 
Hahahaa! Malezi ni muhimu siyo tabia nzuri kukesha unaongea na huyo bado mtoto lazima alindwe wasimpe mimba hao anaoongea nao
 
Hapo kwenye NB, naona unataka tupazingatie ili tukupe ruhusa ya kumshawishi binti muende mbali ukale mchongo
Japo kanashawishi ila siwezi hata kidogo.Nampenda sana wife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…