Tabia ya Gen Z kupenda kuongea na simu mpaka usiku mnene ni kawaida au ni huyu wa kwangu tu?

Kuna Mmoja nilikua nasafiri na Bus La usiku , alikua nyuma yangu, Gen Z alioongea na simu Kwa muda wa Masaa nne, inakata anapiga, Tena anaongea na MTU la Kijana kenzake, matusi tupuuu.

Utasikia..... Hiyo kitu umeshampa mariaa, umeshaitumiaa na ya Happy.. nakujaaa huko kitu yangu sikupi Ng'oo, ungekua unataka yangu ungenifata niliko🤣🤣🤣

Nilikageukia, nikaweka sura Ngumu , nikakambia , Nisisikie Tena kelele zako zisizjali huku Ndani Kuna Baba na Mama zako

GenZ akakaaga Ka GenZ kenzake, sikusikia tena mpaka nashika DODOMA.
 
Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku mnene. Nishamwambia wife aongee nae anasema anaogopa atamkwaza na itaonekana anamnyima uhuru.

Jana dogo kaongea na simu mpka saa nane usiku. Nakuja kustuka usingizini nasikia mtu anaongea na simu moyoni nikasema huyu binti hanijui. Asubuhi kumekucha ikabidi nimkalishe chini nimpe orientation ya kuishi kwenye nyumba yangu mbele ya dada yake. Akaomba msamaha yakaisha.

Hawa mabinti wanapata wapi huu ujasiri? Watu wamelala yeye anajiachia story kama mchana vile? Japo kuna Gipsum bado sauti yake iliniamsha.

Ni huyu wa kwangu tu au na wa kwenu wapo hivyo?

NB😀ogo ana miaka 18 tu.
Ndio wako hivyo na ukiwakataza ni kesi utanuniwa hadi ujute 😅😅
 
Kuna Mmoja nilikua nasafiri na Bus La usiku , alikua nyuma yangu, Gen Z alioongea na simu Kwa muda wa Masaa nne, inakata anapiga, Tena anaongea na MTU la Kijana kenzake, matusi tupuuu.

Utasikia..... Hiyo kitu umeshampa mariaa, umeshaitumiaa na ya Happy.. nakujaaa huko lin yangu aikupi Ng'oo, ungekua unataka yangu ungenifata nilikosea🤣🤣🤣

Nilikageukia, nikaweka sura Ngumu , nikakambia , Nisisikie Tena kelele zako zisizjali huku Ndani Kuna Baba na Mama zako

GenZ akakaaga Ka GenZ kenzake, sikusikia tena mpaka nashika DODOMA.
👏🏻👏🏻👏🏻
 
Baada ya Gen Z.. kuna Beta version 😅😅 sijui Hawa watakuaje
 
Wote wako hivyo ndio starehe Yao
Umefanya vizuri endelea kumrekebisha huwa vinapenda sana mtu anaevipa muongozo kuliko anaviacha viende Bora liende amini katakupenda Cha msingi usiwe na udikteta
#unawezahatakupigakidogo#
Asante.Nilitumia neno la Mungu kukarekebisha.
 
Nyie mnao mbeza kisa kumuonya huyo bint ivi jaman hamna watoto wa kike au wadogo wa kike? Kwaiyo hiyo ni adabu mnavoona khaaa watu wa humu kutoa comment zisizo na msingi

Hujakosea mtoa mada umefanya vema watoto wakike ni wakuwaangalia vema wanapokosea wanatakiwa kuonywaa
Asante sana mkuu
 
Sijaelewa,

Yaani huyo binti akiwa anaongea na simu usiku kinachokuuma ni nini?

Umeshasema ulikuwa umelala, maana yake kuongea kwake hakukusumbui wewe kulala.

Mbona una mambo ya kikoloni sana.
Shule zifunguliwe mpungue tu humu ndani.
 
Analala na nani? Mnalala wote chumba kimoja au anachumba chake? Nyumba ina dari au haina? Tuanzie hapo
Analala mwenyewe,Vyumba vyetu vipo karibu na kuna dali.Karibu
 
Kuna Mmoja nilikua nasafiri na Bus La usiku , alikua nyuma yangu, Gen Z alioongea na simu Kwa muda wa Masaa nne, inakata anapiga, Tena anaongea na MTU la Kijana kenzake, matusi tupuuu.

Utasikia..... Hiyo kitu umeshampa mariaa, umeshaitumiaa na ya Happy.. nakujaaa huko lin yangu aikupi Ng'oo, ungekua unataka yangu ungenifata nilikosea🤣🤣🤣

Nilikageukia, nikaweka sura Ngumu , nikakambia , Nisisikie Tena kelele zako zisizjali huku Ndani Kuna Baba na Mama zako

GenZ akakaaga Ka GenZ kenzake, sikusikia tena mpaka nashika DODOMA.
Safi sana
 
Hv vitoto ndo vimenifundisha kuweza kuongea na sm kwa zaidi ya dk 40

Zaman simu niliitumia kuongea maneno mawili matatu,kama "uko wapi?",nakuja au nipo nyumbani

Yaan vipo vina mastory mpaka unajikuta na wew umekuwa mpiga story
 
Ili iweje sasa 😃😃😃
Baadae sana nilikuwa napakua misoseji kama yote 😉😉😉

Saa hivi ashaanza kuwa Mshangazi 31 hataki tena kupakuliwa
Manyanza unanichukuliaje yani? 😹😹
We hizo chai wape wa kuja bana
 
Ni wote..kuna binti wa dada angu likizo zake anaanzia kwangu then anaondoka kwao maana anasoma huku....simu yake huwa anaacha hapa akija ndo anaiwasha...yani aisee huwa kama kapagawa kuna siku kalala sebuleni kisa kuchati tukamkuta usingizi umemkolea i hope alilala saa 9 au 10 maana taa hajazima..simu ipo kifuani kaishika...
Chumbani nilimwambia kama mwenzie amelala hakuna kuongea na simu..
 
Kweli kuna mtu nilim bwaga miaka 32 ila muda ote anataka tuongee
hizo ni tabia za tutoto twa seko
 
Binti mdogo wake na wife kaja kututembelea baada ya yeye kumaliza shule (kidato cha nne). Dogo alivyofika alikuwa mpole sana as days goes on naona anazidi kucharuka anaongea na simu mpka usiku mnene. Nishamwambia wife aongee nae anasema anaogopa atamkwaza na itaonekana anamnyima uhuru.

Jana dogo kaongea na simu mpka saa nane usiku. Nakuja kustuka usingizini nasikia mtu anaongea na simu moyoni nikasema huyu binti hanijui. Asubuhi kumekucha ikabidi nimkalishe chini nimpe orientation ya kuishi kwenye nyumba yangu mbele ya dada yake. Akaomba msamaha yakaisha.

Hawa mabinti wanapata wapi huu ujasiri? Watu wamelala yeye anajiachia story kama mchana vile? Japo kuna Gipsum bado sauti yake iliniamsha.

Ni huyu wa kwangu tu au na wa kwenu wapo hivyo?

NB😀ogo ana miaka 18 tu.
Hapo kwenye NB, naona unataka tupazingatie ili tukupe ruhusa ya kumshawishi binti muende mbali ukale mchongo
 
Kwahiyo unafatilia maongezi yake??
Wewe una nia ovu, huo muda ulitakiwa umbambie mkeo lakini ulivyo na karoho ka uzinzi ndani yako uko busy kujua anaongea na nani??

Na lazima alikuwa anaongea na wapenzi wake ndo kilichokuuma 😹😹😹
Hahahaa! Malezi ni muhimu siyo tabia nzuri kukesha unaongea na huyo bado mtoto lazima alindwe wasimpe mimba hao anaoongea nao
 
Hapo kwenye NB, naona unataka tupazingatie ili tukupe ruhusa ya kumshawishi binti muende mbali ukale mchongo
Japo kanashawishi ila siwezi hata kidogo.Nampenda sana wife.
 
Back
Top Bottom