Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna Mmoja nilikua nasafiri na Bus La usiku , alikua nyuma yangu, Gen Z alioongea na simu Kwa muda wa Masaa nne, inakata anapiga, Tena anaongea na MTU la Kijana kenzake, matusi tupuuu.
Utasikia..... Hiyo kitu umeshampa mariaa, umeshaitumiaa na ya Happy.. nakujaaa huko kitu yangu sikupi Ng'oo, ungekua unataka yangu ungenifata niliko🤣🤣🤣
Nilikageukia, nikaweka sura Ngumu , nikakambia , Nisisikie Tena kelele zako zisizjali huku Ndani Kuna Baba na Mama zako
GenZ akakaaga Ka GenZ kenzake, sikusikia tena mpaka nashika DODOMA.