KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
- Thread starter
- #41
Ni shida sana mkuuNi wote..kuna binti wa dada angu likizo zake anaanzia kwangu then anaondoka kwao maana anasoma huku....simu yake huwa anaacha hapa akija ndo anaiwasha...yani aisee huwa kama kapagawa kuna siku kalala sebuleni kisa kuchati tukamkuta usingizi umemkolea i hope alilala saa 9 au 10 maana taa hajazima..simu ipo kifuani kaishika...
Chumbani nilimwambia kama mwenzie amelala hakuna kuongea na simu..