Tabia ya Gen Z kupenda kuongea na simu mpaka usiku mnene ni kawaida au ni huyu wa kwangu tu?

Tabia ya Gen Z kupenda kuongea na simu mpaka usiku mnene ni kawaida au ni huyu wa kwangu tu?

Ni wote..kuna binti wa dada angu likizo zake anaanzia kwangu then anaondoka kwao maana anasoma huku....simu yake huwa anaacha hapa akija ndo anaiwasha...yani aisee huwa kama kapagawa kuna siku kalala sebuleni kisa kuchati tukamkuta usingizi umemkolea i hope alilala saa 9 au 10 maana taa hajazima..simu ipo kifuani kaishika...
Chumbani nilimwambia kama mwenzie amelala hakuna kuongea na simu..
Ni shida sana mkuu
 
Tanzania , kuna useless people

Umri wa 15/16/17/18

Badala mtoto awe anafanya online business anatafuta hela kupitia sim Ila yeye. Ni kutongozana na kuwaza ngono 24/7

This is shit and bullshit.

Mimi mdogo Ana 15 yrs Ila Ana run business kubwa tu.

Anaingiza 100K Kama profits na kuuza mzigo hadi wa 600K


So watengenezeni watoto sio mna andaa Malaya na mashoga
 
Back
Top Bottom