Tabia ya Kiasili ya 'Kijamaa' tuliyonayo Watanzania tunapokuwa nje ya nchi ina faida kwetu au inatufunga kimaarifa na kimaendeleo?

Aisee Kuna watu ni washenzi sana mkuu Tena usiwe na huruma nao hata robo
Mimi Nina kanuni yangu Moja mtu akinitenda mara Moja namlipiza mara Saba Ili ajue ubaya ubayani
Binadamu ukiwachekea wanakuzoea Kama Babu Yao Hivi!
 
Aisee Kuna watu ni washenzi sana mkuu Tena usiwe na huruma nao hata robo
Mimi Nina kanuni yangu Moja mtu akinitenda mara Moja namlipiza mara Saba Ili ajue ubaya ubayani
Binadamu ukiwachekea wanakuzoea Kama Babu Yao Hivi!
Ni suala la muda tu now nauguza majeraha ila nitaleta mrejesho kwa kuwa hii nchi yenyewe ni ya kimafia na hasa mnapofanyiana wageni watupu serikali haina time kabisa,,, nilienda polisi kufungua kesi ila kwa jinsi walivyonipokea kwa kuwa mimi ni foreigner na nimewaambia walionifanyia ni mafoleigner wenzangu kama wawenipuuza hivi,, so nami nishaanza kuandaa majeshi yangu ila nawaacha kama wiki kadhaa hivi kisha namimi nakinukisha,,
 
Sawa mkuu utatupa mrejesho aiseee!
 
Mkuu pole sana kwa yaliyokukuta na sikudhani kuwa huu Uzi wangu ungekuibua na hiki Kisa chako cha Ukweli mpaka kufikia Kujeruhiwa hivyo.

Mwenyezi Mungu akupiganie uweze kupona Jeraha lako hili ( hilo ) upesi na nakuomba sana usilipize Kisasi Shukuru tu upo Salama hivyo Hukumu Jadidi ( Kabambe ) dhidi yao ataitoa Yeye ( Mungu ) tena huenda ikawa ni Kubwa zaidi ya uliyokuwa ukitaka Kuitoa Wewe.
 
Mkuu ni huku maeneo ya mosselbay south Africa
Kumbe ni South Africa Mkuu? Pole zaidi kwani mwaka 2004 nilikuwa hapo UCT ( University of Cape Town ) na nilikuwa naishi Mtaa wa Rondebosch Jirani kabisa na Super Market yao Maarufu na Kubwa ya Pick & Pay na Uwanja wa Ajax Cape Town ambao hata Klabu ya Santos nao walikuwa wakiutumia.

Siku za Weekend nilikuwa nilikuwa napenda sana kwenda Kuwatembelea Wabongo ambao wengi walikuwa wakiishi Ghetto Mitaa ( Maeneo ) ya Wahuni na Watukutu ya Langa na Gulu na nakumbuka kila nikiwatembelea tu lazima nikute Wawili au Watatu Wana Majeraha makubwa kuliko yako na ukiwahoji wanakwambia walizinguana wao kwa wao.

Sehemu ya Kistaarabu ambayo nilikuwa napenda kwenda ni Winnipeg ambako alikuwa akikaa Kaka yangu wa Afrika Mashariki Nahodha na Mchezaji wa zamani wa Harambee Stars Musa Otieno ambaye mwaka huo wa 2004 alikuwa akicheza Soka la Kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Santos iliyokuwa ikitokea hapo hapo Cape Town.

Nilidhani Kumestaarabika Mkuu. Pole!!!
 
Mkuu pole sana na Binafsi Hisia Kali za Huruma na Huzuni huwa zipo karibu mno. Nikuombe tu basi usiendelee kuweka Picha zako zaidi za Majeraha kwani naumia.

Yawezekana Mwenyezi Mungu alikuwa na Makusudi yake Kwangu GENTAMYCINE nije na Uzi huu ambao utakuibua Wewe na uweze kutuambia yaliyokusibu huko.

Na Kinachoniuma waliotenda ni Wabongo.
 
Sasa Mkuu huoni kuwa kwa kuweka Mipango yako wazi hapa JamiiForums ya Kuwalipizia Kisasi utakuwa unaharibu na Kuwashtua pia. au umeshajiridhisha kuwa hawapo hapa JamiiForums na huenda hata Mtandao huu hawaujui?

Usifanye Maamuzi ukiwa na Jazba hivyo.
 
Kaka mkubwa Nyonzo bin Mvule safarini sauzi afrika.

Pole Sana kwa maswahibu, ila mshukuru Sana Mungu bado u hai.
 
Hata ukabila hatuna sana ukilinganisha na nchi zingine za kiafrika . Tumshukuru Nyerere na kiswahili, kimepunguza ukabila sana.
 

Ona jinga hili, hakuna mtaa wa Ronderbosch bali ni eneo linaitwa hivyo, madhara ya kuhadithiwa vijiweni ndio haya.

Ni sawa na mtu wa Dar useme nakwenda mtaa wa Tabata wakati Tabata ni kata na siyo mtaa.

Ungekuwa umewahi kufika Cape hata kwa masaa tu, usingeshindwa kujuwa location za Black South African ni Langa, Kayelisha na Guguletu.

Na hao Ajax Cape town uwanja wanaotumia ni Green point stadium sea point huko.

JF imejaa mijitu miongo sijui unadanganya kwa faida ya nani Achimwene?
 
Siko hapa JamiiForums kutaka Kushindana nami kama nilikuwa huko au naongopa.

Mwaka 2004 mpaka leo kukumbuka baadhi ya Maeneo pia nime jitahidi na ndiyo maana mingine sijaisahau.

Kukuonyesha kuwa nilikuwa na Kusoma hapo nakutajia niliosoma nao UCT hapo Beda ( sasa ni Lecturer University ), Mrs. Kibwana ( HR Stanbic jirani na Ubalozi wa Marekani ), Luhigo ( Mmoja wa IT Engineers wa Vodacom ) na Mrs. Musokwa ( aliyewahi kuwa Mmoja wa Marketing Executive wa Twiga Cement )

Na Apartment niliyokuwa naishi ni hilo Kubwa ( Pembeni ) hapo na hiyo Pick and Pay Supermarket ambapo kwa nyuma kuna Kituo cha Treni na mbele yake kidogo kuna Theatre Kubwa ya Utamaduni wa Mwafrika.

Namalizia tu kwa Kukuambia kwakuwa uko huko na najua unamjua Mtanzania aliyewekeza vyema huko aitwae Hamidu kuwa mwaka 2004 alimsindikiza nani Uwanja wa Ndege wa hapo Cape Town na akanituma baadhi ya Mizigo nimsaidie kumpelekea Kwao kwa Mama yake Mzazi Temeke.

Pumbavu...!!!
 
Sasa Mkuu huoni kuwa kwa kuweka Mipango yako wazi hapa JamiiForums ya Kuwalipizia Kisasi utakuwa unaharibu na Kuwashtua pia. au umeshajiridhisha kuwa hawapo hapa JamiiForums na huenda hata Mtandao huu hawaujui?

Usifanye Maamuzi ukiwa na Jazba hivyo.
Umesomeka,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…