Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Aisee Kuna watu ni washenzi sana mkuu Tena usiwe na huruma nao hata roboNishaanza deal nao ila wote nawajua ni watu wazima kabisa yani wana take chance kwa kisingizio cha ukongwe, walivyonivamia walivaa mask wakiwa na raia mmoja wa south Africa ila nishawajua na kesi yao nitaimaliza kibaharia kwa kuwa kila mtanzania anajua na ameguswa View attachment 1972093
Mimi Nina kanuni yangu Moja mtu akinitenda mara Moja namlipiza mara Saba Ili ajue ubaya ubayani
Binadamu ukiwachekea wanakuzoea Kama Babu Yao Hivi!