Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Mwambie asikilize ngoma ya Justin Bieber - Ghost
sio immaturity ni kawaida sometimes we move in silent
sometimes we need to be alone Maisha yana change
Me sion kama kuna shida bhana kila mtu ajitafute na maisha
Hamna lolote hapo zaidi ni EGO tu
Ajiongeze, jimbo lishachukuliwa.
Au anasubiri hadi atangaziwe ITV?
Mimi naamini njia bora na nzuri kwenye mahusiano ni Communications,ukielewa namna bora ya kuzungumza na mwenzako itasolve vingi sana
Ashaachwa mataa[emoji1787][emoji1787]
Kama ampenda amsubiri,yakimshinda alikokwenda atarudi,au amove on,manake kashawekwa kama Askari wa akiba ,just in case,[emoji23]mapenzi yakichuochuo yanasumbua.
Oneitis ni ugonjwa mmbaya sana. Kwa idadi ya watu iliyopo duniani unakaa seriously kabisa unateseka kisa mtu mmoja aliyeamua kwa akili zake timamu kukupotezea. Just move on na wewe.
Halafu acha kusema ni rafiki yako ndo kapigwa tukio ni wewe.
Pole sana
Be strong!
Nae pia ni binadamu huru,
Anachagua apendacho.
Kuingilia maamuzi yake ni kumuumiza pia.
NB
Furaha yako usiiweke rehani acha ujinga!
Una uhakika gani kama hawakuwa na ugomvi?
Huu uwezo wa kuelezea changamoto za watu kanakwamba mpo kwenye hayo mahusiano, mnaupata wapi?
Binaadamu wote tuna tabia cha kukinai na ubinafsi sasa unapozidisha tabia hizo ndio mambo kama hayo yanayokea mara kuachana mara kusalitianaTabia ya ku ghost mtu kwenye relationship inatokana na nini hasa? Ni kwamba mtu anaogopa confrontation Au ni immaturity?
Kuna mtu wangu wa karibu kawa ghosted na boyfriend wale wa 3 years, hapokei simu wala kujibu text ila anapost status, and now it has been a month Yani kachanganyikiwa na anaumia sana na hajui kakosea wapi, na walikua hawana ugomvi wowote.