Kuna kipindi nilimwambia tuachane akusema chochote ikakaa kama wiki nikamtafuta akanipiga kizinga cha 60k ili aamini kama nampenda nikachomoa nikaja nikampa 30k akasema usijali ukipata utanipa but naona yeye muda wote ni mtu anaehubili kuhudumiwa tu but hakuna nachofaidi kutoka kwake sometime naamua kabisa kukaa kimya but atakutafuta asubuh anapoamka na usiku wakati wa kulala sasa akishafanya hivyo nashindwa kutokumjibu text zake hivi hapa nifanyeje kumuacha huyu kiumbe coz naona ninazidi kukonda tu usiku silali kila nikikumbuka miuno yake na the way alivyo sex nachoka kabisa