Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

sio immaturity ni kawaida sometimes we move in silent

sometimes we need to be alone Maisha yana change

Me sion kama kuna shida bhana kila mtu ajitafute na maisha
Ni utoto tu. Kwann asiweke ishu bayana. That is cowardness!!.
 
Mimi naamini njia bora na nzuri kwenye mahusiano ni Communications,ukielewa namna bora ya kuzungumza na mwenzako itasolve vingi sana
Sio kwenye relationships tu, ukiwa na effective communication skills, utaishi comfortable sana
 
Sema ukichunguza sana mapenzi ni ufala fulani hivi. Move on, au ng'ang'ania uwekwe kwa F*ck-zone.
 
Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship inatokana na nini hasa? Ni kwamba mtu anaogopa confrontation Au ni immaturity?
Kuna mtu wangu wa karibu kawa ghosted na boyfriend wale wa 3 years, hapokei simu wala kujibu text ila anapost status, and now it has been a month Yani kachanganyikiwa na anaumia sana na hajui kakosea wapi, na walikua hawana ugomvi wowote.
Hio hua inatokea kuna wakati hamu ya kuchati chati,kua karibu karibu na Mwanamke inapotea kabisa

Na yeye atulie hamu itarudi asimtafute tafute
 
Kuna mambo ni vigumu sana kujifunza bila kupitia uhalisia
Mimi mamsi wa kwanza kumpenda alijua kuninyoosha, kwangu ndo mara ya kwanza kudate ila yy alishakua mkongwe...... alinipiga matukio hadi Kuna mda nakua kama naumwa hv lkn siumwi usingz hamna mwili Kuna namna hauna nguvu Kuna flavour flan nlipata nliamua kutulia kama mwaka na nusu hv single baada ya hapo kinachoniumiza ni deals za pesa tu
 
Mpaji Mungu hivi inakuaje dem unamuhudumia japo sio kwa 100% but unajitahidi kuhusu kusuka nywele za 30k ni kawaida pocket money kama 49k mpaka 60k ni kawaida lakini, bado anakwambia ujamfanyia kitu cha maana kwanza ukimtumia text za kuonyesha the way unavyompenda huwa ajibu but mpo kwenye mahusiano na mshasex kama mara mbili hv. Ukimuuliza analeta sababu nyingi na anakwambia niwewe ndio uliempenda so jitahidi kutimiza mahitaji yake aijalishi respond yake ipoje but nijitahidi kumuonyesha the way navyompenda kwa vitendo zaidi sio maneno mengi. Halafu akaniambi ni kama yeye alivyowahi kumpenda boy mmoja miaka ya nyuma yeye nduo alikuwa anahangaika kupambania penz mpaka jamaa ampende mwisho wa siku jamaa kapita na 500k zake akalala mbele so namimi nijitahidi kuonyesha upendo kwake wa vitendo bila kuangalia respond yake hivi hii imekaaje?? Halafu dem nampenda kisenge yani na mara nyingi akinitafuta yeye ni kuniomba hela tu.
 
Tafuta demu hakupendi huyo!
 
Back
Top Bottom