Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

Tabia ya ku ghost mtu kwenye relationship

Kwenye mahusiano mara nyingi hamuwezi kua sawa hua Kuna ambae kapenda sana design ya mtoa mada .....sasa Moja akiwa miyeyusho kukawa hamna maelewano yule miyeyusho hachukui mda mrefu mapema tu unashangaa anaenjoy penzi jipya ila ww penda penda sana
Naelewa hayo mkuu mzani wa mahusiano kubalance ni shughuli pevu sometimes ni kujizima data tu ukiwa siriaz sana ni shida.
 
🤣🤣 Atamnyoosha vema

Sema nini mtoa mada ajitahidi kula vizuri akashiba, unajua sometime unaweza kuhisi ni mapenzi yanakutesa kumbe hushibi vizuri, njaaaa mbaya sana.
😂 kwahiyo nimuite daktari wetu?

Mda mwingine ni njaa tu akishiba atakuwa sawa
 
😂 kwahiyo nimuite daktari wetu?

Mda mwingine ni njaa tu akishiba atakuwa sawa
Hahaa saivi atakua anaota ndoto ya 7

Abadili lifestyle ya kula, ale misosi inayoeleweka sio vichips yai vya mtaani huwezi kushiba vizuri.

Aanze utaratibu awe anakula dona, uji wa ulezi, wali ndondo, maboga, viazi.... Badae ye mwenyewe atajiona boya kwanini alikua analilia mtu asiyemtaka.
 
Back
Top Bottom