Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu asimamie hana kazi?...Halafu hii ishu inakuwaga ni circumstance tu....Sehemu nyingine haziruhusu.Tabia hii imekuwa ikifanya chupi kuwa na kiharufu flan hivi kibaya kutokana na kukosa Jua vizuri na kupelekea mvaaji kuonekana ananuka. Jamani tuanike nguo za ndani nje tu na kama unahofia basi anika na kusimamia mpaka zikauke.
Tabia hii imekuwa ikifanya chupi kuwa na kiharufu flan hivi kibaya kutokana na kukosa Jua vizuri na kupelekea mvaaji kuonekana ananuka. Jamani tuanike nguo za ndani nje tu na kama unahofia basi anika na kusimamia mpaka zikauke.
Kweli kabisaAdui yako huweza tumia chupi yako na ukaharibikiwa sana. Chupi ni kitu muhimu sana ni kitu cha kutunza sana. Kwa ambaye hajawahi kupatwa na mikasa hatoamini ila kwa aliyewahi ataamini.
Nunua mashine ya kufulia ambayo inakausha humohumo kwa kutumia umeme. Unakuwa maridadi muda wote wakati wote......
Hizo boxer zako zina hali gani? Maana sioni ajabu ya boxer kuanikwa nje kama zipo katika hali nzuri hakijatoboka tiboka au kuchanika chanikaMimi nasikia aibu kuanika hata boxer nje.....
Hahahaha,sipendi sana mtu aone nguo yangu ya ndani....Hizo boxer zako zina hali gani? Maana sioni ajabu ya boxer kuanikwa nje kama zipo katika hali nzuri hakijatoboka tiboka au kuchanika chanika
Adui wa maisha yako ni imani yako, huko kwenye ushirikina wapeleke chupi iliyokwisha fuliwa na kuondolewa uchafu ili wafanyie nn sasa? Maana angalau ingelikuwa bado chafu chupi ikiwa inafuliwa vizuri pale kati haitokua na tofauti sana na chupi mpya! Zaidi ya kutofautiana kwa uchavu Mbona hao washirikina hawapeleki chupi mpya? Ijaze imani yako kwa kuamini Mungu tu si vinginevyoKwann chupi inahusishwa na mambo ya kishirikina wakati pensi au bukta hailogeki?!
Zipo hizo?
Za kufua na kukausha humo humo?
Zinapatikana wapi? hhgregg?
Kwa bei hizi za umeme wa tz chaaaNunua mashine ya kufulia ambayo inakausha humohumo kwa kutumia umeme. Unakuwa maridadi muda wote wakati wote......
Wanga wanapenya ukutani wanafika ndaniKweli kabisa
Zangu nje suaniki ndani by now naenda kuloweka kesho nazifua natandaza kwenye kama chaaa mafunguz kiboo.. Kuanika chupi ndani ni uchafu na wengu zinakuwa na kaweusi pale kati wengine zimetoboka pale kati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]