Tabia ya kuanika nguo za ndani (chupi) ndani

Kwa nini zinakuwa zimetoboka pale kati? Kwa sababu ya kusuguliwa sana wakati wa kufuliwa?

Ila ujue vile vitobo huwa convenient sana....kwa easy access😛.
Kutoboka kati inachangiwa na vitu Vingi unakuta chupi pale kati ikiwa chafu imekakamaa kama mfuko wa kaki uliokunjwa kunjwa hiyo chupi lazima iwe hatarini kutoboka toboka ndo maana tunasisitiziwa hasa kina dada lazima ujue namna ya kusafisha nyeti zako na kuziweka safi
 
Kwa nini zinakuwa zimetoboka pale kati? Kwa sababu ya kusuguliwa sana wakati wa kufuliwa?

Ila ujue vile vitobo huwa convenient sana....kwa easy access😛.
[emoji631] [emoji631] [emoji631] pale kati kuna vimaji huwa vinadondokea....
 
Mimi huwa narundika.....siku nikifua boxers kamba nzima mwanzo mwisho.....tena naanika nje. Huyo mchawi aruke fensi aje kuiba boxer ili aniroge?!
 
Ukianika ndan kabla ya kuvaa unainyoosha...chup nyingine ni aibu kuanika nje bora muanikie ndan tu
 
Hahahahaa..kuanika chupi nje inanikumbusha tukio moja matata sana...kuna chuo kikuu flani hapa TZ ambacho hostel za KE na ME zinatazamana.Sasa kina dada wakawa wanafua bikini pamoja na chupi zao na kuzianika nje kwenye kamba, Boyz wakaanza kulalamika kwamba zinawatamanisha na kuwapa usumbufu.Baada ya girls kusikia hayo malalamiko ya boys, wakaongeza kasi hata ambao walizoea kuanika ndani walianza kuzianika nje ili kutamanisha zaidi.BOYS ARE ALWAYS BOYS! ndio kauli iliyotumika, jamaa walipanga tukio na wawili kati yao walijitolea kulitekeleza.Baada ya chupi kuanikwa nje na wao wakiwa madarasani, hao jamaa walichukua upupu na kuutia kwenye kila chupi iliyoanikwa.Sehemu nyingine walichanganya upupu, pilipili ya unga na maji kisha kunyunyuzia kote.Siku iliyofuata wanawake walikiona cha mtema kuni, hapa kukalika hostel wala darasani.Wali haha kila kona ya hostel, Kwanzia ile siku hakuna chupi iliyoonekana nje tena.
 
Nazitandazaje kwenye kamba....hatariii... Sana I got nothing to fear 1 boxer 1 day teh!
 
Hii itakuwa ni shuleni siyo chuoni
 
Hizo mashine zinauzwa sh ngap
Sina hakika kwa Tanzania zinauzwaje, ila kama upo Dar nenda aple Game Shop huwa wanakuwaga nazo na bei hupishana kutokana na uzito wa uwezo wa kufua. Pia bei hutofautiana kutokana na aina ya kampuni ya mashine husika mfano Defy, Westpoint etc. au unaweza uka google.
 
Asante
 
Mimi nikionaga tu hiyo kitu......kichwa changu kinafungua ukurasa mwingine kabisa.....

Wacha tu waanikie ndani....
 
Wewe jiachie kwanin uogope na Mali ako anika chupi kwenye jua ili ikauke na kuua vibacteria
 
Back
Top Bottom