mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,371
- 5,602
DahKwa nini zinakuwa zimetoboka pale kati? Kwa sababu ya kusuguliwa sana wakati wa kufuliwa?
Ila ujue vile vitobo huwa convenient sana....kwa easy access😛.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahKwa nini zinakuwa zimetoboka pale kati? Kwa sababu ya kusuguliwa sana wakati wa kufuliwa?
Ila ujue vile vitobo huwa convenient sana....kwa easy access😛.
Bafuni kwako kuna tatizo au ni dogo sana......bukta za wanaume ni sawa kuanika nje. ..lakini nguo ya ndani ya Kike hapana kabisaTabia hii imekuwa ikifanya chupi kuwa na kiharufu flan hivi kibaya kutokana na kukosa Jua vizuri na kupelekea mvaaji kuonekana ananuka. Jamani tuanike nguo za ndani nje tu na kama unahofia basi anika na kusimamia mpaka zikauke.
Muongo ww. Kama haupendi mtu kuiona,unapenda ionwe na nini ss! Labda ungesema unapenda ionwe na watu maalum tu kwako,'apo ungeonekana haujazuga.Hahahaha,sipendi sana mtu aone nguo yangu ya ndani....
Kama una pair 10-12 za vyupi kwa uchache, baongelea pair siyo pc. Hali hiyo haiwezi kutokea. Tatizo watu wengi wana3 au2 pc. Unategemea nini? Unakutana na bibidada kaulamba vbaya,kapendeza mwenyewe! "mjaradue"ss! Utashangaa sana, kuwa yaani mtu kapiga "katambara ke'laki"nje, ndani gharama yake kutunzia ni ndogo, lkn marks sifuri!Zangu nje suaniki ndani by now naenda kuloweka kesho nazifua natandaza kwenye kama chaaa mafunguz kiboo.. Kuanika chupi ndani ni uchafu na wengu zinakuwa na kaweusi pale kati wengine zimetoboka pale kati[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dah mie uwa naanikaga nje tu ............Km ulivyosema ni vizuri saana kuanika chupi kwenye jua. Ila kutokana na chupi kwa maadili yetu ya Kiafrika kuwa ni kitu cha aibu basi huanikwa ndani, Anika chupi ndani ila sehemu yenye hewa..Ikiwezekana kabla hujaivaa ipige pasi kidogo sio kwenye lastick bali zile sehemu za kati.
Pia si vyema sana kuanika chupi nche kwani baadhi ya binadamu waliomuhasi Mungu huzitumia vibaya. Unaweza pata gonjwa ambalo hujui aliyekupa. Adui yako huweza tumia chupi yako na ukaharibikiwa sana. Chupi ni kitu muhimu sana ni kitu cha kutunza sana. Kwa ambaye hajawahi kupatwa na mikasa hatoamini ila kwa aliyewahi ataamini.