Tabia ya kubambikiwa kesi

Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
Dah, Pole mkuu.
Ungetusanua kisa kizima tusije kunasa tukitembelea huko
 
Nahisi na raisi tuliyo nayo tumebambikiwa hapa
 
Aisee
 
Kuna kipindi nilienda zanzibar huko kwa wapemba aloo watoto wao wazur sana bwana walain balaa hawajui kukataa
 
Zipo nyingi sana unajiuliza Hawa wabakaji Awana akilinkumbe ni mtego
... mkifika nchi za watu jengeni kwanza urafiki na wanaume wenzenu ili muifahamu njia!
Sio unafika nchi ya watu asubuhi, jioni uibuke na binti 'catalogue', MTALOGWA!
 
Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
Maeneo gani niko hapa Unguja kwa mchina natafuta mke niende nikabambikiwe niozeshwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…