Ushiled
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 656
- 1,153
Pole sanaBaadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaBaadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
Dah, Pole mkuu.Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
Ana 30 ila unaambiwa ni 16, vyeti na mashahidi wanaletwa, utatoboa?Yaani binti wa miaka 30 akutwe getoni kwangu nambaka?
Duh..
Hao ni waislamu. Inakuwaje wanatabia za kishenzi hivyo?
AiseePole kwa yaliyokukuta. Inabidi hii ije pia na huku kwetu.Ilikuwepo kigoma (maeneo ya Kasulu)hii ilikomesha sana uzinzi.Unamtongoza mke wa mtu wanaongea na mumewe jinsi watakavyo tajirika kupitia tamaa yako.Na ukijichanganya unafirisika kwa kesi ya ugoni
... mkifika nchi za watu jengeni kwanza urafiki na wanaume wenzenu ili muifahamu njia!Zipo nyingi sana unajiuliza Hawa wabakaji Awana akilinkumbe ni mtego
Maeneo gani niko hapa Unguja kwa mchina natafuta mke niende nikabambikiwe niozeshwe.Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.