Tabia ya kubambikiwa kesi

Tabia ya kubambikiwa kesi

Yaani binti wa miaka 30 akutwe getoni kwangu nambaka?

Duh..
 
Baadhi ya maeneo Zanzibar wanatabia ya kishenzi wanategesha mabinti ana miaka 30 unaambiwa umembaka aidha utoe million 8 au umuoe.
Umenikumbusha kuna uzi humu uliletwa kuhus kijana mmoja, askari. Alipewa kesi ya kutembea na mwanafunzi na kumpa mimba. Jamaa anasema hawajawah hata kuongea au kuwa na mahusiano,anamuonaga tu. Binti kalishwa sumu kuw hapo ndo pa kutokea

Demands zao, amuoe binti,alee mimba na mtoto. Hakikisha binti anasoma hadi chuo. Kinyume na hapo wana forward mbele, mtu apigwe mvua 30.

Jamaa akaongea na kwao, ktk simu hawakuw na namna, alishawekwa kooni. Alipewa binti aishi naye ,ndoa ya mkeka.

Ila wakibaki na binti mwenyewe, akimhoji, eti anajibu angefanyaje sasa na baba wa mtot sijui hasomeki hana kipato ,blah blah zingine.
Anasema ww nisamehe tu,🤣, usinichukie.
 
Unasingiziwaje kubaka wakati kuna makubaliano, tunza ushahidi wa meseji kutoka kwa huyo binti na ukilazimishwa kumuoa kataa vilevile , mahakamani hawakushindi na kuoa hauoi labda kukuloga sawa
 
Umenikumbusha kuna uzi humu uliletwa kuhus kijana mmoja, askari. Alipewa kesi ya kutembea na mwanafunzi na kumpa mimba. Jamaa anasema hawajawah hata kuongea au kuwa na mahusiano,anamuonaga tu. Binti kalishwa sumu kuw hapo ndo pa kutokea

Demands zao, amuoe binti,alee mimba na mtoto. Hakikisha binti anasoma hadi chuo. Kinyume na hapo wana forward mbele, mtu apigwe mvua 30.

Jamaa akaongea na kwao, ktk simu hawakuw na namna, alishawekwa kooni. Alipewa binti aishi naye ,ndoa ya mkeka.

Ila wakibaki na binti mwenyewe, akimhoji, eti anajibu angefanyaje sasa na baba wa mtot sijui hasomeki hana kipato ,blah blah zingine.
Anasema ww nisamehe tu,🤣, usinichukie.
Wasenge sana
 
Hebu tuambie binti anategeshawaje?

Wanamleta ndani kwako na kumficha au unabambwa ukiwa unazini naye????
Yani wafosi ndoa mfano wewe una mpenzi wako sasa huyo mpenzi wako anakuja kwako na kuondo, Sasa miaka inakwenda bado haja muoa na Wazazi wake wanataka mtoto wao aolewe, Sasa Wazazi wanachunguza kujua binti yao ana mahusiano nanani na huyo mwanaume wake anaishi wapi mpaka nyumba wataijua, Sasa wakishajua yote hayo wanakaa na binti wanampanga wanasubili siku ukimuhita aje kwako na wao wanakuja mpaka kwako ila wanakaa nje na binti yao anaingia ndani na wao wanasubili kama nusu saa hapo wanakua wamesha jipanga na polisi na viongozi wa mtaa, wewe unashangaa unagongewa mlango na ukifungua wanaingia ndani kwa nguvu na wanakuozesha kiongozi wa dini anaitwa. Sasa ukiwa hutaki ndiyo unapelekwa polisi na kupelekwa Mahakani kwa kosa la kumtoliosha binti chini ya unfamiliar wa wazazi na kubakq na kulawiti. Kesi zote zinakua za kutunga cha kushangaza kila wakati wanaenda msikitini kuswali.
 
Hii ni kweli kesi za huko au Tanga unaweza kusikia mtu kabaka kumbe ni mtego ,ukikutwa na mtoto wa mtu getto utashangaa unapewa kosa jingine.
Hao ni waislamu. Inakuwaje wanatabia za kishenzi hivyo?
 
Hao ni waislamu. Inakuwaje wanatabia za kishenzi hivyo?
Kwani waislamu hawafanyi dhambi ? Hizo ni tabia binafsi kama ndoa za mkeka sio uislamu ila ni tabia yao binafsi .

Ndoa za kulazimishana ni utapeli haupo kwenye dini.
 
Kwani waislamu hawafanyi dhambi ? Hizo ni tabia binafsi kama ndoa za mkeka sio uislamu ila ni tabia yao binafsi .

Ndoa za kulazimishana ni utapeli haupo kwenye dini.
Wanasema ni dini ya haki na walioko kwenye hiyo dini ni watakatifu
 
Back
Top Bottom