Tabia ya kuigiza vitu, CCM inaenda kulipeleka Taifa shimoni

Tabia ya kuigiza vitu, CCM inaenda kulipeleka Taifa shimoni

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
HIi serikali ya CCM ni waigizaji wazuri sana, mfano wanajiridhisha kwa kusema maandamano ya jana hakufanyika sababu Vijana hawataki kuandamana huku walijaza Askari kila sehemu.

Jibu lake watu hawakuandamana sababu Askari walijaa kila sehemu, maana yake walipata muda wa kubadilisha mawazo na familia zao juu ya mstakabali wa Tanganyika, ina maana maandamano yalifanyika ndani ya nyumba za watu

Na siamini kama polisi na wanajeshi wote wanaipenda serikali iliyoko madarakani, sababu huku uraini ni kwamba CCM na serikali yake haipendwi hata kidogo kama hawaamini basi wasubirie siku kiongozi mkubwa akifa jinsi watu watakavyosherekea
 
Back
Top Bottom