Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 602
- 969
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2]Nunua starlet yako bwana tusipangiane matumizi ya macho yetu.
Nunua starlet yako bwana tusipangiane matumizi ya macho yetu.
Gari ninalo wala sio uongoKwani wanachama wa JF wote si tuna magari? Kwani lako bovu?😀
Safi sanaGari ninalo wala sio uongo
KweliKuza maandishi ya simu, type bonge la tusi kumtukana anaechungulia simu yako... iwe kama draft tu..kila ukiona anakutolea macho unamuwekea hilo tusi.
Kuza maandishi ya simu, type bonge la tusi kumtukana anaechungulia simu yako... iwe kama draft tu..kila ukiona anakutolea macho unamuwekea hilo tusi.
Unatumia simu ya aina gani? Njoo Kariakoo weka protector za privacy 10k Mtu hawezi soma ama kuona unachokiandika kwnye simu yako kamwe
Mimi nitaandika "kuna ngedere hapa anasoma msg zangu"Kuna siku ilishawahi nitikea hii nikiwa kweny Daladala. Naandika sms tena kwa Group naona mtu amekodolea tuu ninachoandika nilivyomaliza kuandika nikaandika sms nyingine akiwa anaiangalia nikaandika ivii
KUNA ABIRIA NIMEKAA NAYE ANAFUATILIA SMS BILA HATA AIBU, VP NIMCHUKULIE HATUA GANI?
Daaah mjinga yule aliona aibu balaaa
Ndio ipoje hiyo mkuu ??
Huyo wa kuangalia kioo cha simu yako ana nafuu.Hii tabia huwa inanikwaza saana halafu ni ya wengi saana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu! Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!
Tuweni wastaarabu jamani