Tabia ya kukodolea macho simu za watu

Tabia ya kukodolea macho simu za watu

Ni tatizo la kisaikolojia tu, macho huwa yananasa haraka kwenye kitu chenye mwanga mkali au wa rangi ya kupendeza kuliko vingine.
Hata muda huu hapa unavyosoma, kikitokea kitu chenye mwanga mkali kuliko huu wa kwenye simu ni lazima utakodolea tu.
 
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!

Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!

Tuweni wastaarabu jamani
Labda alikuwa mwizi

Sent from my XT1097 using JamiiForums mobile app
 
Hii tabia huwa inanikwaza sana halafu ni ya wengi sana! Upo kwenye daladala unatoa simu ujibu meseji au kuanglia kama kuna jipya, sasa jirani yako bila aibu anakodolea macho kwenye simu utadhani inamuhusu!

Unaandika meseji yeye anafuatilia na kusoma unachoandika!

Tuweni wastaarabu jamani
Ma IT Wote Msiokua Rasmi Mnaitwa Huku! Mnaodukua Kwa Macho Mambo Wanayofanya Watu Kwenye Cm Zao Wanapokua Kwenye Kadamnas.
 
Back
Top Bottom