Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Tafuna iliki au karafu ukienda mzigoni
Noted mkuu
Chupa imeamka na chaiWeekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha.
Mitundi ya kutosha ndo suluhu ya karaha za maisha haya ya kibongo. Leo hii Kg 1 ya mchele imefikia 3500, kodi za nyumba ndio kero maana miezi inakatika kama barafu inayeyuka.
Unakula mabia ya kutosha na uzuri unapiga Mackotail ya kila namna. Halafu Jumatatu unaamkia kazini na uzuri unapiga kazi vizuri tu. Ila ukuda ni kauli za wanafiki kazini eti vyombo vinatema.
Ukinywa K vant harufu inatokaga hadi kwenye kwapaPombe inayonuka ni matapu tapu, k vant, red laber,black and white,grants hazinuki
Alafu kama colleague wako anakunusa basi ofisi yenu ni kama feel free church
Jasho la kvant halifai 😅Ukinywa K vant harufu inatokaga hadi kwenye kwapa
Ndizi za kuiva zinasaidia pia kuclear throat.Tafuna iliki au karafu ukienda mzigoni
Ova
Ndo unakuta mtu anastaafu hana mbele wala nyuma, makazini inapaswa tuwaze yakwetu sio ya wengineWeekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha.