Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Weekend inaanza Ijumaa na watu wanakuwa na stress za kutosha.
Mitundi ya kutosha ndo suluhu ya karaha za maisha haya ya kibongo. Leo hii Kg 1 ya mchele imefikia 3500, kodi za nyumba ndio kero maana miezi inakatika kama barafu inayeyuka.
Unakula mabia ya kutosha na uzuri unapiga Mackotail ya kila namna. Halafu Jumatatu unaamkia kazini na uzuri unapiga kazi vizuri tu. Ila ukuda ni kauli za wanafiki kazini eti vyombo vinatema.