Tabia ya kupokea viongozi na kuondoka kwa nini imekuwa kama sherehe na sio heshima za kiusalama kama ilivyo kwa nchi nyengine

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu.

Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
 
Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao zio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
Mkuu hutaki watu wapige vibunda?
 
Mkuu hutaki watu wapige vibunda?
Kwa hiyo ikitokea kuna shida ya usalama tukamate vikundi vya sanaa bagamoyo makao makuu usalama nahisi ndio wafanyakazi sasa baada ya usalama.
 
Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu.

Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
Mkuu kila nchi ina protocols zake na pia ni moja wapo ya njia ya kusambaza utamaduni wetu.
 
Ni utamaduni wa mahali fulani hata kwenu kuna utamaduni fln
 
Back
Top Bottom