Mkuu hutaki watu wapige vibunda?Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu.
Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao zio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
Mkuu kila nchi ina protocols zake na pia ni moja wapo ya njia ya kusambaza utamaduni wetu.Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu.
Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
Hapana mkuu ila hao wanakula kwa urefu wa kambaKwa hiyo ikitokea kuna shida ya usalama tukamate vikundi vya sanaa bagamoyo makao makuu usalama nahisi ndio wafanyakazi sasa baada ya usalama.