Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO.
Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu mwenye huo uchawi basi nyota Yako atakuwa ameibeba mtu huyo.
Kuanzia hapo mambo Yako utayaona yameanza kuwa magumu Sana na mipango kuhalibika kama ulikuwa na biashara wateja watakata au hata kama ulikuwa na mali unaweza ukafilisika kabisa kutokana na nyota Yako kuchukuliwa na mtu mwingine.
Na mtu akichukuwa nyota Yako huyo amechukuwa mfumo mzima wa maisha Yako na amekuharibia mfumo mzima wa mizunguko Yako kiufupi atakuwa kakuharibia mipango Yako yote ya kimaisha na wewe utakuwa umebaki ilimradi tu bora liende.
Mtu akikuchukulia nyota Yako wewe unabaki na ziro kabisa ila yeye Sasa aliyeichukuwa nyota Yako Sasa ataanza kufanikiwa kwa Kasi kubwa kwa sababu anatumia uwezo wako kwahiyo kuweni makini sana kusalimiana kwa kushikana mikono na sio Kila mtu lazima ushikane nae mkono wengine waache wapite.
Nadhani mwenye uelewa amejuwa ninachokiongea ni nini kwahiyo kuweni makini sana ndugu zangu.
watu wa kusalimiana kwa mikono wawe ni wachache tu mfano baba, mama, mke, watoto wako, boss wako...
nawatakia kheri katika utaftaji wa rizki
kazi na dawa