Tabia ya kutazama pornography na picha za nusu utupu online humfanya mtu kuwa maskini kwa 100%

Tabia ya kutazama pornography na picha za nusu utupu online humfanya mtu kuwa maskini kwa 100%

Kabisa porn industry ina hela sana. Na porn stars wengi wana hela chafu.

Kuna binti mmoja kutoka Ghana anajiita Daisy Melanin alipata kazi kwenye porn industry na alisema anapiga hela vibaya mno. Ni binti mdogo tu wa 2002. Ila anaingiza pesa vibaya mno.

Hata ukisearch Google, utampata.
View attachment 3554449
Link hii hapa kuhusu wasifu wake...

Embu ngoja nikamuangalie kwenye site zetu zile pendwa, anaweza kuwa na maajabu.
 
Ngoja niwape hint kidogo ili kuokoa baadhi ya nafsi katika wimbi la umaskini na kuharibikiwa akili.

Kuna makundi ya watu 2.
Kundi la kwanza ni wale wanaoshinda mitandaoni hasa wadada wakipost makalio, mavuzi, mapaja , matiti na sehemu zingine za kuchochea hamu ya ngono na kupiga punyeto.

Kundi la pili ni wacheza filamu za ngono. Hawa walianza mapema kabla ya hilo kundi la kwanza la wadada waonyesha sehemu za siri ili wapate viewers na watu wa kuwatumia pesa kwa ajili ya live scene.

Yaani mtu anatuma let's say dollar 20, 50 au mia then wanaonyeshana vikojoleo live.
100% ya hawa watu kutoka makundi yote 2 ni maskini.

Umaskini ndio chanzo cha kucheza picha za ngono , umaskini ndio chanzo cha mabinti kuonyesha makalio na sehemu za siri mitandaoni ili wajipatie pesa.
Wengine wakihojiwa hudanganya kuwa wanafanya kwa starehe tu na si kwasababu ya umaskini.

Ni uongo. mcheza ngono anaweza kuwa na gari, nyumba, iphone n.k lakini hivyo vitu ni matokeo ya kazi yake chafu , bado mindset yake inasoma poverty.

Ukiwatazama na kapata feeling kama vile uko sehemu ya tukio kwa 100% unauvaa ule umaskini wake.

Roho ya umaskini itaendelea kuwacharaza vijana wengi zaidi kwasababu ya kuwatazama watu wanaofanya kazi za kimaskini.
Kadri unavyozidi kuwaangalia ndivyo umaskini unaufungulia milango zaidi.

Mungu akufungue kijana.
Labda wacheza ngono uliowazoea wewe wale wa buza, ila wale wa nje ni matajiri aisee
 
Attachments

  • Screenshot_2026-03-07-20-52-25-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2026-03-07-20-52-25-89_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    110.2 KB · Views: 13
Kabisa porn industry ina hela sana. Na porn stars wengi wana hela chafu.

Kuna binti mmoja kutoka Ghana anajiita Daisy Melanin alipata kazi kwenye porn industry na alisema anapiga hela vibaya mno. Ni binti mdogo tu wa 2002. Ila anaingiza pesa vibaya mno.

Hata ukisearch Google, utampata.
View attachment 3554449
Link hii hapa kuhusu wasifu wake...

Vipi background yake ?
Katoka Familia maskini au tajiri?
 
Sijaona ulipoelezea n vp picha za ngono zisababishe umasikini kwa mtu, nimeona porojo tuu
 
Sijaona ulipoelezea n vp picha za ngono zisababishe umasikini kwa mtu, nimeona porojo tuu
Hili sio tangazo la biashara kwamba natakiwa nilirembe kuvutia wateja.
Kama unaona haya machache ni porojo wewe endelea kutazama na kupiga punyeto halafu uone maisha yatakavyokuchakaza.
Sasa hivi huwezi kujua , nguvu zikiisha uzeeni ndipo utagundua kuwa huna kitu na nguvu zimekuishia
 
unataka kusema umaskini umekuwepo baada ya wacheza na watazama porn kuanza?

Wewe umejuaje kuna porn wakati hutazami?
Hao wazee waliozeeka masikini wote walikuwa watazama porn?

Hizo story pelekea wapumbavu wenzio huko.

Nikujulishe tu.
Hisia za ngono ni kitu mtu anazaliwa nacho na ndicho kitu pekee katika Dunia hii kinapendwa kuliko kitu kingine. Mpuuzi wewe! Sio tusi.

Soma hata wanasaikolojia kuhusu ngono kwa binadamu. Sigmund freud wanasemaje.

Ukishindwa soma hata "
SEXUS SIRI ZA NGONO TAMU by DKT. DYABOLI. Kuna jambo utajifunza
 
Attachments

Back
Top Bottom