Tabia ya kutazama pornography na picha za nusu utupu online humfanya mtu kuwa maskini kwa 100%

Tabia ya kutazama pornography na picha za nusu utupu online humfanya mtu kuwa maskini kwa 100%

Punyeto ndiyo Nina uhakika nayo kuwa ni source of poverty, divorce and frustrations. Hii iliniathiri sana kabla sijafahamu na kuchukua hatua
Nyie hizi story zenu mnazitoa wapi? Huo umasikini wenu usiokoma badala mfanye kazi mmeamua kusingizia punyeto.
Punyeto ni worldwide mapdri wanapiga nyeto,mawaziri rejea yule waziri wa congo alifumwa akipiga nyeto ofisini,maraisi nk sema ilo ni jambo la faragha huwezi fahamu.
 
Hili sio tangazo la biashara kwamba natakiwa nilirembe kuvutia wateja.
Kama unaona haya machache ni porojo wewe endelea kutazama na kupiga punyeto halafu uone maisha yatakavyokuchakaza.
Sasa hivi huwezi kujua , nguvu zikiisha uzeeni ndipo utagundua kuwa huna kitu na nguvu zimekuishia
Mm Sio masikini na nafanya yote hayo unayosema
 
Kwamba umasikini umeenza baada ya kuanza kutengeneza content za ngono 😂

Kwamba kabla ya hapo watu wote walikuwa matajiri 😂

Bangi ya wapi hii
 
Tafuta michongo ya pesa acha kuingilia faragha za watu hizo ni nadharia tu
 
Back
Top Bottom