Mwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
Akili mingi sana mkuu....Mwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahah! Aisee kilichotokea sasa ata mimi sijui ndugu yangu...
Tatizo la kiufundi limetokea bila mimi kujua na mpaka sasa hv sijajua bado ni nini shida. Dadeq
Pakipambazuka utajua sababu yake, sasa pumzika kwanza[emoji23] [emoji23]
MmhHahah! Hapana aisee siwezijua mana sina usingiza na nipo sober kabisa
Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
viwanda vya makalio?Ndio nchi yetu ya viwanda jamanii,.watu na viwanda vyao acha wajidai,.
Hahahahahaaaa
Ndio maana mi huwa nawafi.lia mbali m.aninaHata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
HahahaaaaMwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
Hahahah hiyo nyimbo aliyeimba mpuuzi sanaZawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
Ndio kiwanda chake,kokote aendako anacho hakiachi mahali[emoji4]viwanda vya makalio?