PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Mkuu si wengine tunapenda kuangalia hayo mambo, wewe kama hupendi ujue aikuhusu. Cha ajabu nnachokushangaa unafuata nini huko? Wamekuita? Nani anakulazimisha kuangalia? Mtu bando lake mwenyewe, simu yake mwenyewe, makalio sio yako, akipost Instagram wewe inakuuma nini? Usiwe mkuda kama Rais wako!