Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Mkuu si wengine tunapenda kuangalia hayo mambo, wewe kama hupendi ujue aikuhusu. Cha ajabu nnachokushangaa unafuata nini huko? Wamekuita? Nani anakulazimisha kuangalia? Mtu bando lake mwenyewe, simu yake mwenyewe, makalio sio yako, akipost Instagram wewe inakuuma nini? Usiwe mkuda kama Rais wako!
 
Mwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE

Hiyo ndo Tz sasa
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahah! Aisee kilichotokea sasa ata mimi sijui ndugu yangu...
Tatizo la kiufundi limetokea bila mimi kujua na mpaka sasa hv sijajua bado ni nini shida. Dadeq
Pakipambazuka utajua sababu yake, sasa pumzika kwanza[emoji23] [emoji23]
Hahah! Hapana aisee siwezijua mana sina usingiza na nipo sober kabisa
Mmh
 
Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..

Kama ukipita kule Ohio mida ya usiku na maeneo karibu na Aga Khan hospital pale Dar unawaona wa type hiyo, basi si ajabu kuwakuta na kwenye mitandao.
 
Hata kama umejaaliwa kuwa na umbile lenye kuvutia, haimaanishi kwamba ujirekodi na kuweka mtandaoni hasa instagram, video zenye kuchochea mmomonyoko wa maadili. Tazama hawa..
Ndio maana mi huwa nawafi.lia mbali m.anina
 
Mwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
Hahahaaaa
 
Biashara matangazo .......hao wote wanaliwa 714 wanazitafutia wadau sasa

OvA
 
Back
Top Bottom