Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Tabia ya kutikisa makalio huko instagram imekithiri, wasanii wa kike muwe na staha kidogo

Kawaambie huko huko kwenye chanzo cha matako sio humu..
 
Waache watikise mali yao!
Siku wakijaribu kutikisa yakwako tu leta nrejesho hapa sheria ichukue mkondo wake.
 
Mwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
Very well said. Wanadamu ndo tupo hivyo. Mambo ya kishetani washabiki kibaoooo
 
sishangai nikisoma thread kama hizi..kuikomboa nchi yetu kwa vijana wenye akili za namna hii itakua kazi sana ..naona jpm aendelee kukaza nati tu tukae sawa ila asionee katika haki ila haya mengine kama haya akaze nati ili watu wakiamka kitandani wawaze vitu vya maana kuliko makalio ya instagram.
 
Hahah!! Vp rafiki kwema?
Mbona hivyo tena?
Kwema kabisa rafiki. Niaje?
Hahaaa. Nimejikuta naguna asubuhi asubuhi tu rafiki.
Umemuona mdogo wako alivyo mkeshaji yani usiku sana nimemkuta humu
Hahaaaa. Nimewaona rafiki.
Hahah eti umetuona
Ndio! Sababu umeshajitoa rafiki wakati mlikuwa wote. Hahaaa.
Conversation...[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom