Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hahah!! Vp rafiki kwema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Vp rafiki kwema?
Mbona hivyo tena?
Kwema kabisa rafiki. Niaje?Hahah!! Vp rafiki kwema?
Hahaaa. Nimejikuta naguna asubuhi asubuhi tu rafiki.Mbona hivyo tena?
NmekukubaliZawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo
Mtoa mada hajasema wasanii wa kike wa Africa au ulayaza ulayA mbona hampigi kelele? au zile haziharibu maadili?
Umemuona mdogo wako alivyo mkeshaji yani usiku sana nimemkuta humuHahaaa. Nimejikuta naguna asubuhi asubuhi tu rafiki.
Hahaaaa. Nimewaona rafiki.Umemuona mdogo wako alivyo mkeshaji yani usiku sana nimemkuta humu
Very well said. Wanadamu ndo tupo hivyo. Mambo ya kishetani washabiki kibaooooMwingine kafa juzi haf kaagwa na maelfu ya watanzania.. tena na vituo vya radio vimegonga nyimbo za maombolezo siku nzima.. hiyo ndo nguvu ya makalio bana.. yaani anakufa daktari bingwa nchi kimyaaa!!.. anakufa mtingisha makalio inapigwa nyimbo TUTAKUKUMBUKAA MILELEE
Hahah eti umetuonaHahaaaa. Nimewaona rafiki.
Ndio! Sababu umeshajitoa rafiki wakati mlikuwa wote. Hahaaa.Hahah eti umetuona
Hahah!! Vp rafiki kwema?
Mbona hivyo tena?
Kwema kabisa rafiki. Niaje?
Hahaaa. Nimejikuta naguna asubuhi asubuhi tu rafiki.
Umemuona mdogo wako alivyo mkeshaji yani usiku sana nimemkuta humu
Hahaaaa. Nimewaona rafiki.
Hahah eti umetuona
Conversation...[emoji85] [emoji85] [emoji85]Ndio! Sababu umeshajitoa rafiki wakati mlikuwa wote. Hahaaa.
[emoji116][emoji116] umemuona kukesha kwake ndio anaamka sasa hivi...Ndio! Sababu umeshajitoa rafiki wakati mlikuwa wote. Hahaaa.
Conversation...[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahahaaaa.[emoji116][emoji116] umemuona kukesha kwake ndio anaamka sasa hivi...
Ndio unaamka sasa hv kwasababu ya kukeshaHahahahaaaa.
Unasemaje?????
Haya bana chukua ushindi wa mezaniNdio unaamka sasa hv kwasababu ya kukesha