Akili zangu hazipo sawa
Senior Member
- Apr 23, 2020
- 160
- 119
Kama umewahi kukumbwa na kitu kama hiki karibu tushauriane nn tatizo la huu mtandao au ndo namna ya kujiongezea kipato chao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wezi hawa watuAlafu bahati mbaya sms zao hazifai kureply!
Ningewatukana hadi wakome
Hahaha huu wizi wao ni hatariHahahah wemechukua Sana hela zangu aisee [emoji1][emoji1][emoji1]
Wameniliza vya kutosha xaxa basiNina mpango wa kuwafikisha mahakamani bado nashauriana na jopo la mawakili wasomi juu ya hawa Vodacom
Soon ntakua nao kwa court
Hapa kwa line hadi sasa wanakata 100 kila siku iendayo mbinguni.Kama umewahi kukumbwa na kitu kama hiki karibu tushauriane nn tatizo la huu mtandao au ndo namna ya kujiongezea kipato chao
Ebu fikiria wakikata 100 kwa watu 1m kila siku si mpunga mrefu kabisa huo,au ndo wanatimiza yajayo yanafurahishaHapa kwa line hadi sasa wanakata 100 kila siku iendayo mbinguni.
Nina mpango wa kuwafikisha mahakamani bado nashauriana na jopo la mawakili wasomi juu ya hawa Vodacom
Soon ntakua nao kwa court
Daaa bora halotel kdgwaliniibia elfu 2,500 ya kifurushi.
Nikatoa laini yao na kuivunja.
Wanaacha watu tunaibiwa hukuHaya Mambo ya vifurushi ndio kazi ya tcra lakini wao wapo bize na UTUPU wa gigy