Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Dah.... maisha haya huyu mtoto nimefungua dimba mwenyewe nimepiga sana ilikua bado kidogo nichezee 30 years ila kimafia nilimdindia mshua wake na alikua poti na mama nae poti mziki ulikua wa moto jangwani sec pale ila mura nikatoboa japo nilitikiswa mpaka financially
Mzee smart ukipigwa na kitu kizito safari hii usituambie
Tako limevaa lapa 🤣🤣🤣Sasa hivi wanaacha makalio nje kazi mnayo
Sisi tupo hapa kabla hajakuangusha tutakudaka kijana wetu usije poteaAntonnia njoo unipige na kitu kizito...
Haifilisi dukaaa!