sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yaani daah inakera sana Na habari zisizo Na uhakika you tube zimejaa unaweza kukuta kitu gaya ambacho hakitabiriki kuwepoYani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.
yote hii ni kwajili ya kupata views ila mnaharibu heshima za watu.
🤣🤣🤣🤣🤣unakuta title 'wamwaga razi baikoko mbagala' , na thumbnail ya msambwanda
unachoma MB ndani unakuta ujinga ujinga wa sisiemu
Kitu ya click bait hiyo wanawavuta mguse wapate mkwanjaunakuta title 'wamwaga razi baikoko mbagala' , na thumbnail ya msambwanda
unachoma MB ndani unakuta ujinga ujinga wa sisiemu
Mkuu yaani ulichoandika ni ukweli mtupu. Yaani inakera sana. Wakati mwingine wanawataja hata viongozi wakuu serikalini na kutumia picha zao bila hata woga. Hawa watu kwa kweli wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria. TCRA huu mfupa ni wenu kabisa.Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.
yote hii ni kwajili ya kupata views ila mnaharibu heshima za watu.
TCRA nao wamejikausha tu wanakula tozo zetuYaani daah inakera sana Na habari zisizo Na uhakika you tube zimejaa unaweza kukuta kitu gaya ambacho hakitabiriki kuwepo
Huu upuuzi uko mwingi sana YouTubeView attachment 2019034
View attachment 2019037
- - Uso kwa uso
- -Huwezi Amini
- -Atoa siri
- Watupiana maneno
- Afichua mazito
Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y.
Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video.
Yyoutube ni ajira, kwa kila views elf 1 kuna kiasi kwa mfano shilingi 1,500/=, Ila sasa hizi mbinu mmnazotumia ili kukusanya views hazina ethics.
TCRA ao wamekaa kimya nywii.
Mi nikitoka Jf huwa ni kama kenge aliyetoka majini kuota jua kwenye mawe.tatizo content jaman.
huko duniani kuna mamilioni ya channel za youtube,ila maudhui yake yanavyotafutwa ndio utaelewa kumbe kila kazi inahitaji uwekezaji sio ubabaishaji.
ukimwangalia kijana kama snash tz,unaona kabisa yeye ni mpya ktk game ila kufikia mafanikio haitachukua muda mrefu.
kwanini??
ana chambua maswala ambayo ni ya kipekee,na ambayo ni changamoto kwa wengi.
anatumia lugha ya kiswahili kuhakikisha anakuelekeza uelewe,hata upate mwanga juu ya jambo fulani.
hawa wengine wanachofanya ni utapeli,kudanganya watu na thambnail za kuchonga,halafu ndani zitendwa mbali,ukiisha click,mpaka uuone huo uongo yeye tayari kashahesabiwa cents kule,na ndio lengo lao.
Tukiachana na Uchambuzi ana sauti nzuri yenye Power yule mkaka jamani! nmeskilizaga sana ucjambuzi wake mpaka najikuta nazijua movie bila kuzionatatizo content jaman.