Tabia ya Wanaume wa Dar kudiscuss kina Wema Sepetu

Watu Wa dar....wana maisha Magumu.,...coz they are dealing with pointless issues..
 
Huoni haya wewe unadiscuss?
 
discuss Ujinga kama huo ... Yaani kunikuta Nadiscuss Mimba ya Wema ... Dooooh . ...Sijawahi ona hii kitu ...nadhani nashangaa kutokana ma Historia ya Mkoa wangu . Arusha hakuna hii kitu aisee .
arusha mnajua kunywa viroba, kuvuta bangi nyingi kali, vivaa jinsi zinazobana..na kunyoosha vidole viwili juu vya kile chama..kweli ng'ombe ni ng'ombe tuu hawezi kula nyama..
 
Teh teh! Kazi kweli kweli! Sema wavulana wa Dar sio wanaume wa Dar.
 
Unategemea mwanaume anayelishwa na mkewe au familia ya ukweni atawaza nini.....waache tu wamwaze wema
 
Iko siku niliona midume mizima inabishana mtoto wa diamond kama ni wake...aisee wanaume wa dar wanatia kinyaa sana
 
Ni tabia ya watu wa Arusha kupondea watu na kila kitu cha Dar. Next time usije huku, kaa huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…