Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

Kwa akili zako hizi, nakuapia utafika mbinguni umetepweta.

Kiufupi, umevurugwa.
 
Ukitaka maskini akung'ate ng'ate basi mwambie apunguze spidi ya kuzaa na ukichunguza mimba za maskini inashika kiurahisi balaa utasema zinaambizana.

UpUtaskia tu vikauli vyao "huyu ndio mwigulu wa kesho" ukiona watoto vitambi vya kwashakoo ila ndio vinavyoongezewa wadogo zao.Kweli umaskini ni laana.
 
Unajua nature ya pupulation zao au unaropokwa tu.
Usinilazimishe kuamini unachokijua hata kama kina faida kwako.Mimi siamini katika ujinga wa kuwa na watoto wawili ambao hauna faida kwangu.Mimi ni mjamaa ndiyo maana siamini katika kuzaa watoto wachache.Tumeona hasara yake kwa sisi wajamaa,kwanza Ushoga ni chanzo cha sera hizi za kuwa na watoto wachache,pili tunakoelekea thamani ya mwanaume itaendelea kushuka kwa sera hizi.Siku moja Putin aliwaasa Wanawake nchini kwake wazae sana na atawalipa mishahara kama watazaa sana ina maana wanaume wa huko hawana ngu za kuzaa.Yote haya yanatokana na mashinikizo ya kiuchumi,kielimu,kisiasa katika kugandamiza baraka ya Mwenyezi Mungu.(Mwanzo 1:26-29).
 
Bora huyo anaingiza japo elfu 20 kwa siku

Yupo mtu hata elfu 2 kwa siki haingizi na ana watoto Nane.
 
Nitakitagfuta hiki Kitabu.
 
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari
Swedeni wana Ardhi Ndogo
 
Mkuu,
Hii nchi Ni
DEPOPULATED
WEWE KAMA NI MWANAUME NA UNAJIWEZA JITAHIDI KUZALISHA (KUPANDILIA) KADRI UTAKAVYO WEZA HII NCHI INAITAJI RASILIMALI WATU IN THE LATE JPM VOICE
 
Kuna mama niliona ana watoto 8 anamlilia Makonda amsaidie kuwalea πŸ˜„

Sasa unapiga mtoto wa kwanza mpk wa 8 unategemea nani aje awalee? Mwanaume akiona yamemzidi anakula kona πŸ˜„πŸ˜„

Badae unailaumu serikali Maisha magumu πŸ™†πŸ™†
 
Kwani maisha ni pesa tu????Sema tumesahau wajibu wetu na malezi bora kutoka kwa wazee wetu ndiyo maana tunalalamia jambo moja wakati shughuli za kufanya ni nyingi na mahali pa kuishi ni pengi.
Hakuna, ni uongo.....hao unaoita wazee wenu ndio wametufikisha hapa na hii dhana ya kuzaa hovyo bila mipango wala mwelekeo ni utamaduni kutoka kwa wazee hao hao.
 
Huo ni upumbavu.Kwani bila Serikali hawezi ishi???Huo ni udhalilishaji wa ubinadamu wake.Tatizo ni kupenda ngono boila kufanya kazi.Kama mtu anawajibika hawezi lalamikia Serikali yake.
 
Tz ibaki kuwa ya wananchi wa ccm tu, maana hakuna namna. Akili zao wanazijua wenyewe.

Mtu ana mimba analeo from Day One hadi Miezi 9 ila hana hata laki moja ya akiba ya kumsaidia wakati wa uzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…