Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Duuh...wanaume wanaendelea kuisha kwa kasi ya ajabu sana.Kwani wanakuja omba mboga kwako!??
Inahuuu!!!??
[emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh...wanaume wanaendelea kuisha kwa kasi ya ajabu sana.Kwani wanakuja omba mboga kwako!??
Inahuuu!!!??
[emoji1][emoji1][emoji1]
Ila huogopi hao wako wanaokuja kuwa mashoga?Matoto yake hayana matunzo naogopa yasije kuwa mateja ama vibaka wakaanza kumsumbua mitaani.
Kwa akili zako hizi, nakuapia utafika mbinguni umetepweta.Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Duu..!hapa ni pamoja na wa jirani au wa mwamba mmoja TU?UMESHAFIKA ULAYA UKAONA WENZAKO WANAVO ZAA
View attachment 3017164
Usinilazimishe kuamini unachokijua hata kama kina faida kwako.Mimi siamini katika ujinga wa kuwa na watoto wawili ambao hauna faida kwangu.Mimi ni mjamaa ndiyo maana siamini katika kuzaa watoto wachache.Tumeona hasara yake kwa sisi wajamaa,kwanza Ushoga ni chanzo cha sera hizi za kuwa na watoto wachache,pili tunakoelekea thamani ya mwanaume itaendelea kushuka kwa sera hizi.Siku moja Putin aliwaasa Wanawake nchini kwake wazae sana na atawalipa mishahara kama watazaa sana ina maana wanaume wa huko hawana ngu za kuzaa.Yote haya yanatokana na mashinikizo ya kiuchumi,kielimu,kisiasa katika kugandamiza baraka ya Mwenyezi Mungu.(Mwanzo 1:26-29).Unajua nature ya pupulation zao au unaropokwa tu.
Asante kwa hoja nzuri inayoendana na uhalisia.kuwa na watoto wengi hakuna mahusiano na umaskini wako. Acha fikra potofu za kimagharibi
Bora huyo anaingiza japo elfu 20 kwa sikuKwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Wanazaa wanaccm tupu....hakuna ukombozi hapo.Wacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Nitakitagfuta hiki Kitabu.Ukisoma kitabu cha "Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania 1960-1964" Dr. Paul Bjerk ameandika jinsi serikali ya kwanza kabisa ya Nyerere ilipojitahidi kufanya mipango mizuri sana ya maendeleo, lakini tatizo likawa kuwa serikali haikuangalia ongezeko la watu.
Mipango ya miaka mitano ikikamilika, inakuwa haijamaliza tatizo, kwa sababu by the time miaka mitano inaisha, idadi ya watu ineshaongezeka na kuipita sana mipango.
Nyie wenye pesa za Kulamba Asali pigeni kazi, fyatueniSisi wenye uwezo wacha tuzalishe tu maana mashoga wanaongezeka kwa kasi ya ajabu tukileta uzungu wa kuzaa watoto wawili tumekwisha.
Swedeni wana Ardhi NdogoDkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari
Kwani maisha ni pesa tu????Sema tumesahau wajibu wetu na malezi bora kutoka kwa wazee wetu ndiyo maana tunalalamia jambo moja wakati shughuli za kufanya ni nyingi na mahali pa kuishi ni pengi.Nyie wenye pesa za Kulamba Asali pigeni kazi, fyatueni
Mkuu,Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Hakuna, ni uongo.....hao unaoita wazee wenu ndio wametufikisha hapa na hii dhana ya kuzaa hovyo bila mipango wala mwelekeo ni utamaduni kutoka kwa wazee hao hao.Kwani maisha ni pesa tu????Sema tumesahau wajibu wetu na malezi bora kutoka kwa wazee wetu ndiyo maana tunalalamia jambo moja wakati shughuli za kufanya ni nyingi na mahali pa kuishi ni pengi.
Huo ni upumbavu.Kwani bila Serikali hawezi ishi???Huo ni udhalilishaji wa ubinadamu wake.Tatizo ni kupenda ngono boila kufanya kazi.Kama mtu anawajibika hawezi lalamikia Serikali yake.Kuna mama niliona ana watoto 8 anamlilia Makonda amsaidie kuwalea 😄
Sasa unapiga mtoto wa kwanza mpk wa 8 unategemea nani aje awalee? Mwanaume akiona yamemzidi anakula kona 😄😄
Badae unailaumu serikali Maisha magumu 🙆🙆
Tz ibaki kuwa ya wananchi wa ccm tu, maana hakuna namna. Akili zao wanazijua wenyewe.Kuna mama niliona ana watoto 8 anamlilia Makonda amsaidie kuwalea 😄