Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

Wacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Hakuna kitu kama hicho. Watoto wa familia za hovyo kama hizo huishia kuwa mateja, vibaka na walevi tu. Mwisho wa siku taifa litatumbukia kwenye mkondo wa taifa la Haiti
 
Wewe mwenzetu mwenzetu mwenye utajiri wa Mali shukuru Mungu sie masikini utajiri wetu amani na watoto
Ukiwa na watoto 6 halafu wanalala chini tena bila kula utaishia kuwa na mateja, vibaka na walevi. Hatimaye utabakia mpweke kwasbb wengi watauawa kwa kuchomwa na matairi na wengine kuambulia kifungo cha maisha.
 
View attachment 3017188hata wazungu bana walizaliana zamani mno. Cheki uwingi wa watu India walipo how about Nigeria and china. Watu are resources too Kama hujui Kuna human capital/resources
Sasa unaleta mifano ya 1901, enzi za neema, wakati ardhi bado bikra? Mbegu ikidondoka chiini inazaa mazao mengi mpk unauza ziada?
 
Ndugu zangu bodaboda njooni kuna jambo la kujadiliana humu,ila pia karibuni na wengine mnao hisi pia mmeshushiwa rungu la kichwa na ndugu yetu hapa ,hata kama sii bodaboda🤔
 
Sasa unaleta mifano ya 1901, enzi za neema, wakati ardhi bado bikra? Mbegu ikidondoka chiini inazaa mazao mengi mpk unauza ziada?
Enzi hizo walikuwa Kama hapa kwetu na baadhi walikuwa wameshadogea katika mawazo yako. Ama huelewi sie tuko nyuma mno kwao.pia Kama hizo ardhi zipo bado,huko katavi Kuna mapori hayajawahi limwa since creation na huko congo msituni Kuna miti haijawahi kukatwa tokea kuumbwa . Ni wewe tu huko kwao Kila mahala Kuna zege
 
Hakuna kitu kama hicho. Watoto wa familia za hovyo kama hizo huishia kuwa mateja, vibaka na walevi tu. Mwisho wa siku taifa litatumbukia kwenye mkondo wa taifa la Haiti
Hayo Madawa ya kulevya si baadhi ya hao viongozi Wana wakumbatia waingizaji madawa nchini. Na Mtaani tuna wajua kwa nini wasikamatwe. Kama Chiko, Mzee mtamamchungu wote wapo mtaa mmoja pale magomeni kwa bibinyau.
 
''Sweden's area is approximately 410,340 km2 (158,433 sq mi), while the area of Tanzania is approximately 885,800 km2 (342,009 sq mi). This means Tanzania is 2.16 times bigger than Sweden''
chanzo: embassies.net

Watu ndio taifa, bila watu hakuna taifa; vitani wanatakiwa watu + teknolojia
 
usipangie watu Jinsi ya kuishi
 
Hayo Madawa ya kulevya si baadhi ya hao viongozi Wana wakumbatia waingizaji madawa nchini. Na Mtaani tuna wajua kwa nini wasikamatwe. Kama Chiko, Mzee mtamamchungu wote wapo mtaa mmoja pale magomeni kwa bibinyau.
Mbona unatoa siri sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…