Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Huyo jamaa atakuwa kabila la kobaz maana ndio mabingwa wa kupoteza habar mitandaoni na wanaichukua na kui post bila kuielewaHawa ni kwenye kituo cha kulelea watoto yatima, acha kupotosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa atakuwa kabila la kobaz maana ndio mabingwa wa kupoteza habar mitandaoni na wanaichukua na kui post bila kuielewaHawa ni kwenye kituo cha kulelea watoto yatima, acha kupotosha.
Hakuna kitu kama hicho. Watoto wa familia za hovyo kama hizo huishia kuwa mateja, vibaka na walevi tu. Mwisho wa siku taifa litatumbukia kwenye mkondo wa taifa la HaitiWacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Ukiwa na watoto 6 halafu wanalala chini tena bila kula utaishia kuwa na mateja, vibaka na walevi. Hatimaye utabakia mpweke kwasbb wengi watauawa kwa kuchomwa na matairi na wengine kuambulia kifungo cha maisha.Wewe mwenzetu mwenzetu mwenye utajiri wa Mali shukuru Mungu sie masikini utajiri wetu amani na watoto
Hawa ni kwenye kituo cha kulelea watoto yatima, acha kupotosha.
Sasa unaleta mifano ya 1901, enzi za neema, wakati ardhi bado bikra? Mbegu ikidondoka chiini inazaa mazao mengi mpk unauza ziada?View attachment 3017188hata wazungu bana walizaliana zamani mno. Cheki uwingi wa watu India walipo how about Nigeria and china. Watu are resources too Kama hujui Kuna human capital/resources
Ndugu zangu bodaboda njooni kuna jambo la kujadiliana humu,ila pia karibuni na wengine mnao hisi pia mmeshushiwa rungu la kichwa na ndugu yetu hapa ,hata kama sii bodaboda🤔Kwa mwendo huu hakuna rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote??
Unakuta bodaboda ana watoto 6?? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasbb watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dr. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wakuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipaswa Kodi 2M !!!
Enzi hizo walikuwa Kama hapa kwetu na baadhi walikuwa wameshadogea katika mawazo yako. Ama huelewi sie tuko nyuma mno kwao.pia Kama hizo ardhi zipo bado,huko katavi Kuna mapori hayajawahi limwa since creation na huko congo msituni Kuna miti haijawahi kukatwa tokea kuumbwa . Ni wewe tu huko kwao Kila mahala Kuna zegeSasa unaleta mifano ya 1901, enzi za neema, wakati ardhi bado bikra? Mbegu ikidondoka chiini inazaa mazao mengi mpk unauza ziada?
Hayo Madawa ya kulevya si baadhi ya hao viongozi Wana wakumbatia waingizaji madawa nchini. Na Mtaani tuna wajua kwa nini wasikamatwe. Kama Chiko, Mzee mtamamchungu wote wapo mtaa mmoja pale magomeni kwa bibinyau.Hakuna kitu kama hicho. Watoto wa familia za hovyo kama hizo huishia kuwa mateja, vibaka na walevi tu. Mwisho wa siku taifa litatumbukia kwenye mkondo wa taifa la Haiti
Hiyo picha imekuwa generated na Akili Mnemba AIView attachment 3017188hata wazungu bana walizaliana zamani mno. Cheki uwingi wa watu India walipo how about Nigeria and china. Watu are resources too Kama hujui Kuna human capital/resources
usipangie watu Jinsi ya kuishiKwa mwendo huu hakuna rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote??
Unakuta bodaboda ana watoto 6?? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasbb watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dr. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto. Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
We hauna watoto nini, mbona unakasirika wenzako wakizaa? Walikuomba hela ya nepi? Kinachokuumiza ni nini hasa!! Bora ungeongea kikawaida sasa we unakuja umefura kweli eti kisa wenzako wana zaa watoto wengi. Na wewe Kazae kumi ili mihemko yako itulie.Hakuna keki inayoweza kugawanyika kwa bodaboda mwenye watoto 6.
Mbona unatoa siri sasa?Hayo Madawa ya kulevya si baadhi ya hao viongozi Wana wakumbatia waingizaji madawa nchini. Na Mtaani tuna wajua kwa nini wasikamatwe. Kama Chiko, Mzee mtamamchungu wote wapo mtaa mmoja pale magomeni kwa bibinyau.
China hawazai watoto wengi mkuuWacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Basi Tanzania ilipaswa kuwa na watu 32M (mara 2.16 ya Sweden) na siyo 60M karibu mara 4 ya Sweden.This means Tanzania is 2.16 times bigger than Sweden''
chanzo: embassies.net
Maisha ni mipango, ukiishi bila mipango ni kuishi-ishi (sawa na mnyama).usipangie watu Jinsi ya kuishi
Hawa ndiyo wezi, na ndiyo vibaka mtaani.We hauna watoto nini, mbona unakasirika wenzako wakizaa? Walikuomba hela ya nepi? Kinachokuumiza ni nini hasa!!
Mwambieni huyo. Atakuwa hajui.China hawazai watoto wengi mkuu