Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

Kwanini awe bodaboda? Tuanzie hapo, kwanini hafanyi kazi kiwandani alipwe milioni kuanzia, 15M mpaka 26M kwa, mwaka?
Hao, watoto sio, shida,
Chanzo ni ccm, badala, ya, kujenga, viwanda wananunua v8, moja ni milioni 400!
 
Basi Tanzania ilipaswa kuwa na watu 32M (mara 2.16 ya Sweden) na siyo 60M karibu mara 4 ya Sweden.

Mkuu tukubali tunakosea kuzaliana hovyo.
Mapori ni mengi kuliko idadi ya watu; pia tunakoelekea idadi ya uzao itapungua sana kutokana na vijana kutokuwa na uwezo wa kuzaliana huko mbeleni, itakayo sababishwa na unywaji wa pombe kali pamoja na kurithi tamaduni za nchi zingine, mfano mahusiano ya jinsia moja n.k​
 
Purchasing power ya familia za hivi ni almost zero. Mtoto mpaka anafikisha miaka 7 kavaa nguo 2 tu tena za kupewa na majirani. Kuna wanunuzi hapo. Halafu wanakuja kuwa wadokoi na vibaka mtaani.
 
Kwanini awe bodaboda? Tuanzie hapo, kwanini hafanyi kazi kiwandani alipwe milioni kuanzia, 15M mpaka 26M kwa, mwaka?
Hao, watoto sio, shida,
Chanzo ni ccm, badala, ya, kujenga, viwanda wananunua v8, moja ni milioni 400!
Mkuu dawa ni kupunguza kuzaa. Viwanda vya siku hizi siyo siyo labour intensive ni hightech. Computer tupu na roboti kidogo.
 
Hawa ndiyo wezi, na ndiyo vibaka mtaani.
Unaweza ukazaa mtoto mmoja na akajakuwa mwizi au kibaka. Na unaweza ukazaa watoto saba na wote wakapata mafanikio na kushiriki kujenga uchumi wa nchi, wao binafsi na wa watu wao wa karibu. Life is not a black and white thing, kuna gray n.k.
Anyway kila mtu ana mawazo yake na circumstances zake alizo/anazopita katika maisha.
 
Unaweza ukazaa mtoto mmoja na akajakuwa mwizi au kibaka. Na unaweza ukazaa watoto saba na wote wakapata mafanikio na kushiriki kujenga uchumi wa nchi, wao binafsi na wa watu wao wa karibu. Life is not a black and white thing, kuna gray n.k.
Hii Sasa unaongelea "ana ana doo". Lkn ukweli mtoto anapaswa kuandaliwa vema tangu akiwa tumboni, kwa kupewa lishe bora ili aje kuwa na akili, kisha aweze kupambana vema na maisha. Kinyume na hapo ni kujidanganya.
 
Duh! Takwimu zinatisha

Uwezo wa kuzaa unatakiwa uendane/uzidiwe na uwezo wa kutafuta na kupata kipato
 
Moja ya factor ya driver ya uchumi ni population,na Tanzania tuna rasilimali zinazoendana na population hata ikiongezeka mara 3.
Shida ni usimamizi wa rasilimali hizo kunufaisha jamii husika.

Ingawa at individual level kwa Tanzania ambapo rasilimali zinatumiwa hovyo na Watawala-Idadi kubwa ya watoto ni shida sana,labda uamue malazi,chakula,matibabu,na shule viwe vya level ya chini.
 

Kuna wale ambao wanasema kila mtoto anakuja na riziki yake. Hao ndiyo adui wakubwa sana wa nchi hii.

Wanafunika kichwa, huku wamevaa visuruale vilivyobana matako.
 
Uko sahihi kabisa, kuna jirani yangu hapo ni bodaboda, anaishi kwenye ibada cha mlinzi wa siye na ana watoto wengi sana mpaka nashindwa kujua humo ndani walala kivipi kwani wengine wamekuwa wakubwa. Maskini na wajinga wengi wa nchi hizi faraja yao ni katika ngono zembe na ndio maana huko uswazi utakuta vitoto vimejazana kwenye mabanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…