WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Uko sahihi kabisa.Sisi wenye uwezo wacha tuzalishe tu maana mashoga wanaongezeka kwa kasi ya ajabu tukileta uzungu wa kuzaa watoto wawili tumekwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa.Sisi wenye uwezo wacha tuzalishe tu maana mashoga wanaongezeka kwa kasi ya ajabu tukileta uzungu wa kuzaa watoto wawili tumekwisha.
Uko sahihi kabisa.Waarabu hapa hapa Tanzania wanazaana mpaka 40 na baba mmoja ila sio masikini.
Laumuni vichwa vyenu.
Mkuu mleta Mada inaelekea umetoka kwenye kikao kujadili population ya tz,
Ni tz kuna watu wengi Sana. Hawana faida Kwa uchumi wa Nchi,
Angalia kipindi cha campaign CCM ikiwasomba watu rundo kwenye Malori, kwenda viwanjani,
CCM iko madarakani Kwa Sababu ya watu wengi wasiokuwa na faida nchini.
Angalia waalimu wanaisaidia CCM kushinda Kwa wizi wa kura Kwa malipo ya laki na nusu Tu 😂.
Hakika wanakera.Mkuu mimi nikiwaona watanzania wengine, natamani niwe nawachapa viboko.
Sawa Tajiri kwa hiyo unatushaurije ?
Viwanda vitajengwa na pvt sector,
Hii akili ya kuwaza serikali ijenge viwanda wew ukaajiriwe, kwanini usiwaze wew ujenge kiwanda kama umeona gap?
Siku nikiwa rais, nikute mtu yuko na watoto 3 halafu hana mbele Wala nyuma nitampeleka jela .
Magufuli aliwaambia wafyatue watoto.
Idadi ya hao uliowataja vs wanaozaa. Wanaozalisha ni wengi mno , uliowataja ni kama 1% tena wanajificha.Hujanielewa mkuu, kwa vile hao mashoga hawawezi kazalishana.tena bora sisi wenye uwezo tupige kazi maradufu kuziba gepu la hao ambao wameleft.
Watoto ni baraka, ukitaka kujua hili ao halafu ukose mtoto miaka 5Kwa mwendo huu hakuna rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote??
Unakuta bodaboda ana watoto 6?? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasbb watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dr. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto. Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Watoto wa 2000 nao wakuwategemea kuja kukomboa nchiWacha watu wazae vije vizazi vipya vya kuikomboa Tanzania Kama China na Nigeria. Sio kizazi hichi cha Simba na yanga pumbavu zako mwana Ccm wewe.
Hawaji kuomba lakini hao ndio wanaotukatia madirisha na kutupiga robaKwani wanakuja omba mboga kwako!??
Inahuuu!!!??
[emoji1][emoji1][emoji1]
Acheni uvivu fanyeni kazi na familia zenu mtazimudu bila kutegemea serikali.Ila mkiwa wavivu mtalalamikia kuzaa ovyo na umaskini hautapungua bila kuchukua hatua stahiki za kufanya kazi kwa bidii na kuheshimu uumbaji wa Mwenyezi Mungu.Kuna wale ambao wanasema kila mtoto anakuja na riziki yake. Hao ndiyo adui wakubwa sana wa nchi hii.
Wanafunika kichwa, huku wamevaa visuruale vilivyobana matako.
Rukwa hakuna idadi kubwa ya watu na Serikali imeshindwa kuihudumia vizuri.Idadi ya hao uliowataja vs wanaozaa. Wanaozalisha ni wengi mno , uliowataja ni kama 1% tena wanajificha.
So sera za nchi lazima zibadilike, or else serikal itashindwa kuhudumia jamii kutokana na ongezeko lisilo na control
Umewahoji hao watoto wakakwambia wamefiwa?Hawa ni kwenye kituo cha kulelea watoto yatima, acha kupotosha.
Kwa mwendo huu hakuna rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasbb watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Mojawapo ya njia zilizobuniwa na wazungu kudhibiti ongezeko la idadi ya watu ni kupromote ushoga.Idadi ya hao uliowataja vs wanaozaa. Wanaozalisha ni wengi mno , uliowataja ni kama 1% tena wanajificha.
So sera za nchi lazima zibadilike, or else serikal itashindwa kuhudumia jamii kutokana na ongezeko lisilo na control
Wewe ni mwanaume kweli?Kwani wanakuja omba mboga kwako!??
Inahuuu!!!??
😄😄😄