Tabia ya Watanzania ya kuzaa hovyo ndiyo chanzo cha umaskini. Bodaboda ana watoto sita! Hata Serikali inashindwa kupanga mipango

MTU ni masikini ana watoto kadhaa wenye wajukuu lakini Bado eti na yeye analea katoto kachanga.

sexless hawa watu inapidi wasemwe Sana
 
Sina cha kuongeza hapo mkuu.
 
Sawa Tajiri kwa hiyo unatushaurije ?

Nyerere alisema, maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Mambo hayaji kwa bahati nasibu. Hilo lazima watanzania tujue. Hakuna mtoto anayekuja na riziki yake.

Huo ni upotoshaji. Hata leo hii ukienda hospitali ya Mwananyamala utakuta watoto wengi wamezaliwa. Lakini hutaona wazazi wakija na fuso ili kupakia na kuondoka nazo riziki zilizoletwa na watoto waliozaliwa.
 
Siku nikiwa rais, nikute mtu yuko na watoto 3 halafu hana mbele Wala nyuma nitampeleka jela .

Hapana usimtupe lupango, kwa maana mzigo wa watoto utakuwa umemsaidia kiaina. Na siku ukimwambia kifungo kimeisha, walahi nakuambia hatakubali kurudi kwake.
 
Hujanielewa mkuu, kwa vile hao mashoga hawawezi kazalishana.tena bora sisi wenye uwezo tupige kazi maradufu kuziba gepu la hao ambao wameleft.
Idadi ya hao uliowataja vs wanaozaa. Wanaozalisha ni wengi mno , uliowataja ni kama 1% tena wanajificha.

So sera za nchi lazima zibadilike, or else serikal itashindwa kuhudumia jamii kutokana na ongezeko lisilo na control
 
Watoto ni baraka, ukitaka kujua hili ao halafu ukose mtoto miaka 5
 
Kuna wale ambao wanasema kila mtoto anakuja na riziki yake. Hao ndiyo adui wakubwa sana wa nchi hii.

Wanafunika kichwa, huku wamevaa visuruale vilivyobana matako.
Acheni uvivu fanyeni kazi na familia zenu mtazimudu bila kutegemea serikali.Ila mkiwa wavivu mtalalamikia kuzaa ovyo na umaskini hautapungua bila kuchukua hatua stahiki za kufanya kazi kwa bidii na kuheshimu uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
 
Idadi ya hao uliowataja vs wanaozaa. Wanaozalisha ni wengi mno , uliowataja ni kama 1% tena wanajificha.

So sera za nchi lazima zibadilike, or else serikal itashindwa kuhudumia jamii kutokana na ongezeko lisilo na control
Rukwa hakuna idadi kubwa ya watu na Serikali imeshindwa kuihudumia vizuri.
 
Daaah nchi ngumu
 
Idadi ya hao uliowataja vs wanaozaa. Wanaozalisha ni wengi mno , uliowataja ni kama 1% tena wanajificha.

So sera za nchi lazima zibadilike, or else serikal itashindwa kuhudumia jamii kutokana na ongezeko lisilo na control
Mojawapo ya njia zilizobuniwa na wazungu kudhibiti ongezeko la idadi ya watu ni kupromote ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…